Nipo katika mahusiano na wasichana sita

Nipo katika mahusiano na wasichana sita

Status
Not open for further replies.
Ni vizuri hakuna tatizo kwani uliumbwa mwana mme ili utumie kifimbo hicho kuwafurahisha wasionacho.Ila nadhani huna imani.Hujamjua Mungu wa kweli.Huwezi kumpenda Mwwenyezi mpaka umwamini na huwezi kuacha dhambi mpaka umjue Mungu kuliko kitu chote kingine kupitia imani.
 
bado saana endelea tu ukifika kwenye 120 hivi utapunguza speed automatically!!!
Usimdanganye kijana wa watu by the timr anafika hiyo 120 atakuwa anachungulia kaburi au kashasahaulika kabisa kwenye uso wa dunia
 
Mtu kaomba ushauri ,mmpe ushsuri ss mambo mengine ya nn jamani?
 
Usimdanganye kijana wa watu by the timr anafika hiyo 120 atakuwa anachungulia kaburi au kashasahaulika kabisa kwenye uso wa dunia

Unafikiri yuko serious huyo? Anasumbua vichwa vya watu tu.
 
hata neno la Mungu linasema ..kuna wanaume wa aina mbili..wenye kujua kujengana na mwanamke na kuwa bora wengine wasiojua bali kutawaliwa na wanawake na kuwatumikia hao wanawake kimwili tuu... kifup ww ni sex machine... tubu kwa uzinz na kuwa bize...
 
Mbona kawaida 2 endelea nao......mi npo kwenye mahusiano na wasichana 9 na kila mmoja anakula kwa tym ake na baadh wanafahamiana bt no big deal....maisha yanaendelea....ntaacha nkitaka kuoa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom