Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
Habari wakuu,!
Nimekuwa na mahusiano na wasichana sita ambao kila mmoja nafanya nae mapenzi, lakini napenda sana kuachana na hii tabia chafu ya kuwa na wasichana wengi na nimejaribu sana kujiweka busy na mambo ya muhimu lakini wapi, natamani hata niende kwa mchungaji akaniombee jamani maana mimi mwenyewe nimeomba lakini naona maombi hayajibiwi.
Na wasichana wengine huwa wananiambia wananipenda( sijisifii) na sio kwamba mimi ni handsome boy na wala sina hela ya kusema eti msichana anipende.
Nimeomba ushauri sana kwa marafiki zangu ambao hawana hii tabia lakini bado siachi jamani yani tangu nianze kufanya mapenzi, nimefanya na wasichana zaidi ya kumi,!
Mwezi uliopita nimechangia damu majibu yamerudi niko poa na blood group langu ni B+,! Sasa nataka niiache hii tabia lakini nafsi bado inanisukuma nisiache nifanyaje jamani?
Nipo serious.!