Hili swali linanitatiza kila siku. Hivi wasichana wanapotoa mimba kila siku alafu wanalala na mamidoli kama 10 hivi kitandani tuwaelewe vipi? Je, ni kwamba wanapenda watoto bandia au wanapenda watoto halisi ila muda bado.?
Sikatai midoli ni mapambo lakini ni ujinga vile vile kutoa mimba alafu unalala umekumbatia mamidoli. Kam vipi angezaa tu ili alale amekumbatia mtoto wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.