Nipo dilema kuhusu utambulisho wangu

Nipo dilema kuhusu utambulisho wangu

AHAS

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
803
Reaction score
1,382
Wakuu naombeni msaada kwa anayefahamu mimi kitambulisho changu cha NIDA kina majina Matatu ila sasa kuna herufi moja imeongezeka kimakosa kwenye jina la mwisho la kitambulisho changu cha NIDA.

HIYO imefanya jina langu kutofautiana na la kwenye vyeti vya shule

je nafata taratibu gani kuiondoa hiyo herufi ya mwisho ilioongezeka ili majina ya NIDA yafanane na ya kwenye vyeti vyangu vya shule
 
I AM REAL SUFFER with this issue.....!
Kiinglish tuwaachie wenyewe
 
Asante mkuu vipi uliwahi kufanya hivyo ukafanikiwa coz Nimeambiwa NIDA saivi hawabadilishi taarifa labda kwa mahakamani je ni kweli??
Ni mawili, uanzie mahakamani kupata uthibitisho wa vyeti vyako halisi ndio uende NIDA au uende NIDA moja kwa moja kwa kuwa tayari una kitambulisho tayari utakuwa uliisha pitia mchakato wa kuhakiki vyeti na kuthibitishwa.
Usisikilize story za watu baki, nenda kwenye mamlaka husika ukafanye marekebisho, ndio maana tunalipa kodi ili hao tuliowaajiri wafanye kazi waliyoomba kama ajira.
 
Shukrani mkuu
 
Wakuu naombeni msaada kwa anayefahamu mimi kitambulisho changu cha NIDA kina majina Matatu ila sasa kuna herufi moja imeongezeka kimakosa kwenye jina la mwisho la kitambulisho changu cha NIDA.

HIYO imefanya jina langu kutofautiana na la kwenye vyeti vya shule

je nafata taratibu gani kuiondoa hiyo herufi ya mwisho ilioongezeka ili majina ya NIDA yafanane na ya kwenye vyeti vyangu vya shule

I AM REAL SUFFER with this issue.....!
Hawa jamaa wanaoandika wajinga Sana, mtu anaitwa Dula wao wanaweka ufundi wanaoandika Dulla.
Pumbafu Sana Hawa jamaa.
 
Ni mawili, uanzie mahakamani kupata uthibitisho wa vyeti vyako halisi ndio uende NIDA au uende NIDA moja kwa moja kwa kuwa tayari una kitambulisho tayari utakuwa uliisha pitia mchakato wa kuhakiki vyeti na kuthibitishwa.
Usisikilize story za watu baki, nenda kwenye mamlaka husika ukafanye marekebisho, ndio maana tunalipa kodi ili hao tuliowaajiri wafanye kazi waliyoomba kama ajira.
Asante mkuu
 
Wakuu naombeni msaada kwa anayefahamu mimi kitambulisho changu cha NIDA kina majina Matatu ila sasa kuna herufi moja imeongezeka kimakosa kwenye jina la mwisho la kitambulisho changu cha NIDA.

HIYO imefanya jina langu kutofautiana na la kwenye vyeti vya shule

je nafata taratibu gani kuiondoa hiyo herufi ya mwisho ilioongezeka ili majina ya NIDA yafanane na ya kwenye vyeti vyangu vya shule

I AM REAL SUFFER with this issue.....!
Solution ni kupata kitambulisho kipya tu, nenda ofisi za nida zilizo karibu na wewe wakupe utaratibu
 
Wakuu naombeni msaada kwa anayefahamu mimi kitambulisho changu cha NIDA kina majina Matatu ila sasa kuna herufi moja imeongezeka kimakosa kwenye jina la mwisho la kitambulisho changu cha NIDA.

HIYO imefanya jina langu kutofautiana na la kwenye vyeti vya shule

je nafata taratibu gani kuiondoa hiyo herufi ya mwisho ilioongezeka ili majina ya NIDA yafanane na ya kwenye vyeti vyangu vya shule

I AM REAL SUFFER with this issue.....!
Affidavity veryfying names. njoo nikusaidie chaap
 
Back
Top Bottom