Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Walai Leo ndo LeoYote ni kwa ajili ya afya ya familia yako.Jikaze
We si mzee wa kusawazisha, basi sawazisha hata ukikutwa nao.Wife ni mjamzito, Kibaya zaidi sijawai pima HIV na nimemaliza chuo mwaka Jana nilidet na mtoto m1 sikuwai pima aisee na huyu nae sijui yukoje.. Nawaza nikimbie? Nikikimbia hatohudumiwa hapa nahitaji ushauri wenu kabla sijatimua mbio..
Duh mkuu binafsi Sijawai pima hizi kituPima ndugu
Hakuna kitu kama ichowe si mzee wa kusawazisha, basi sawazisha hata ukikutwa nao.
Pambana hakuna namna
Acha kabisa mkuuKa vile nakuona kijasho chembambaaa.....wanaume wengi huamini mama akiwa hana HIV nao hawatakuwa na ugonjwa huo....sijui ni kweli au sio kweli
Mkuu balaa tupu hapaFanya Kama unajikuna ukija kushtuka kipimo kishachukuliwa halafu we lala hapo kwenye benchi ukisahausahau
-ni maoni tu
Unazidi kunipandisha wazimuchuo ulienda kuchukua ukimwi au cheti