Nipo CLINIC nimemleta wife mama K hatua ya kwanza wote kupima VVU

Ka vile nakuona kijasho chembambaaa.....wanaume wengi huamini mama akiwa hana HIV nao hawatakuwa na ugonjwa huo....sijui ni kweli au sio kweli
 
Fanya Kama unajikuna ukija kushtuka kipimo kishachukuliwa halafu we lala hapo kwenye benchi ukisahausahau
-ni maoni tu😊😊😊😊🙏🙏🙏🙏🙏
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom