Nipo bukheri wa afya

walahi, mimi nilkuwa nalia kimoyo moyo, sikutaka kulia hadharani maana nilliisi ntaitwa mwanaume waDAR!, ILA karibu mkuu, sjui utaanza na lipi maana tulisha anza kumisi vimbweka vyako.
 
Unadhani kwanini wanajamvi wanakuhusisha na "nge" aliyenyofoa macho na ile helikopita ya asili ilioanguka na kuuwa mtu kijichi?
 
Unadhani kwanini wanajamvi wanakuhusisha na "nge" aliyenyofoa macho na ile helikopita ya asili ilioanguka na kuuwa mtu kijichi?
Mitazamo yao ambayo siwezi kuitolea majibu zaidi ya guess works
 
[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]
 
Mshana na mambo yake yote yale sikuwa na shaka na mahali alipo maana si mtu wa mchezo mchezo
 
pole mshana naona wanakuhusisha na kuanguka na ungo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nimecheka sana labda kwasababu ya hizi mada zetu hapa jukwaani lakini wachawi wa kweli hawapo mitandaoni hususan JF
 
Amerudiii [emoji443] [emoji442] !!! Nimekumbuka [emoji56] kawimbo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…