nipigen tafuuuuuuuuuuuuu

nipigen tafuuuuuuuuuuuuu

Kahesa Andrew

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
82
Reaction score
35
nimetengeneza system kwa kutumia dreamweaver cs3 bt nashindwa kukonect na mysqldatabase nimetafuta code online kila nikijaribu zinanigomea xo nifanyeje hapo nimekwama wadau
 
duuuh mkuu yani hiyo title ya thread mi nkajua ni *Nipige Taff* ya voda kumbe ya dreamweaver na mysql. oungejaribu kuwa specific zaidi ingekuwa rahisi kupata msaada unashindwaje??? unapata error msg yoyote au inakataa vipi
 
nimetengeneza system kwa kutumia dreamweaver cs3 bt nashindwa kukonect na mysqldatabase nimetafuta code online kila nikijaribu zinanigomea xo nifanyeje hapo nimekwama wadau

ni php au ni lugha gani? mimi pia nimeamua kutumia php framework kama walivyorecommend kina CTO na wengine
 
Last edited by a moderator:
$mysql_host = "";
$mysql_database = "";
$mysql_user = "";
$mysql_password = "";

make sure hizi settings umezijaza vizuri.
Sasa myql database yako yiko local? i.e on developing machine(localhost)(kama Xampp)
au una tumia webhost>>>>"mysql16.000webhost.com".
Kama webhost make sure they they allow remote mysql connections(TIP:MOST DONT...u need to use ssh tunneling)
Otherwise tuonyeshe connection ERROR then tuta follow up..🙂
 
inanipa error ya undefined index natumia wampsever bro lugha ni php
 
ni php au ni lugha gani? mimi pia nimeamua kutumia php framework kama walivyorecommend kina CTO na wengine
Kama hana idea kama invyoonyesha kwenye swali lake hizo framework hazitamsaidia kabisa, zitazidi kumchanganya!
 
nimetengeneza system kwa kutumia dreamweaver cs3 bt nashindwa kukonect na mysqldatabase nimetafuta code online kila nikijaribu zinanigomea xo nifanyeje hapo nimekwama wadau

Achana na kukopi hautafika mbali. Achana na DW kwa muda nenda kajifunze PHP na notepad++ tu na WAMP then urudi kutumua IDE. Kama hujui pa kuanzia nimekusanya resources chache za kukusaidia kuanza hapa
Vinginevyo unajipotezea muda!
 
Back
Top Bottom