Nipige??

siku nyingi hujafika muhimbili pale I.C.U, utakuwa umepamis
 
Piga tuuu ila na wewe uwe tayari kupigwaa..!
 

Ina maana huyo mume wake hawezi kumconceivisha? makubwa. Nafikiri wewe mtimue tu. Kungonoka na mke wa mwenzako ni laana kubwa.
 

Thanx Nadidi
 
Mkuu achana naye huyo mwanamke hajatulia. Jiweke katika nafasi ya mume wake. Unajichumia dhambi bure, for what? a simple nut, a simple ***.
 
......siyo tu hupaswi kumpa mimba, bali hata Kungonoka naye hutakiwi.....

we pigaaaaaaaaa tu muheshimiwa mkuu wa mawaziri alisharuhusu.
.....na mara nyingi mtu kama huyu anakuwa kesha piga tayari, nasi ajabu mpaka ile ndogo "Kabaang"

Sijaona chakukushauri!!
....wakati fulani kuna haja ya kuwa tunaulizana umri pia...
 
Kuna watu huwa wanahitaji operesheni ya kubadilisha ubongo...huu alionao sasa nadhani ni wa kuku wa kizungu
watu8 hebu slap me on my face maana naona nyotanyota sijaelewa alichosema huyu hayawani!!
 
Last edited by a moderator:

piga ila usirudi hapa kuomba ushauri pale mumewe atakapokuwa anakutafuta ili "akupige kama ulivyopiga mkewe"
 
watu8 hebu slap me on my face maana naona nyotanyota sijaelewa alichosema huyu hayawani!!

Anataka umwambie kuwa akadinyane na huyo ex wake....anasema ukishamwambia hivyo tu, basi leo leo anaenda kudinyana naye.
 
...we unaomba ushauri wa kupiga au wa kutungisha mimba,haya maelezo yako yanaonesha wazi mnagongana halafu unauliza upige...akili yako na ya huyo hayawani mwenzako hata wale machizi walioko milembe wana afadhali!
 
mumewe ananini mpaka akuombe wewe piga kama ajaamia kwako, akishapata mimba ataanza nina watoto wako wawili kwa nini tusioane tu,

huyo mwanamke akili yake urefu wa pua yake
 
Kwa hiyo wewe wajiona kidume sana? Kwani mmewe kashindwa kutimiza majukumu hayo ? Je ungefanyiwa hivyo wewe ungejisikiaje?

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…