Nipepo au ni uraibu? Anaomba msaada

Nipepo au ni uraibu? Anaomba msaada

Poleni Sana

Kabla ya kuwaza Sana atumie njia hii , atafute mtu ambaye atakuwa ana control mambo yake yote yanayohusu pesa ,awe ni MTU
Mwaminifu.

Hapo amepata uraibu - na uraibu tu akiwa hana pesa sio rahisi akacheza mchezo huo kupita kiasi .

Kikubwa mwambie kubet wanabet watu wengi Sana na bado wapo sawa Ila anapofika hatua kubet ikawa too much ndo uraibu unaanzia.

Uchawi upo Ila matatizo mengi ya waafrica yapo kisaikolojia zaidi
 
Ni kweli kabisa, unaweza kusema Poor Brain karogwa kupenda mishangazi, kumbe wakati ana miaka 14 alikua na demu wa miaka 25.
 
Mkuu huyu ilifikia hatua akaona amwamini mkewe ndo awe anaratibu pesa zote ikiwemo kuzitunza. Cha ajabu jamaa anamdanganya mkewe kuwa kuna tatizo mahali so inaitajika kiasi flani chapesa akipewa anaenda kuruka na kindege. Wakati mwingine anamdanganya mke kuwa Kuna jamaa anahitaji msaada wapesa ampe then atarudisha kumbe nimchongo kapanga na mkopeshwaji pesa ili pesa imrudie yeye.Kwa kifupi hata mkewe ashakata tamaa
 
Tuache mawazo ya mafanikio ya haraka kwenye maisha.. kufanikiwa utoke jasho...
 
Hali nimbaya mkuu
Mbn mm nilikua nabet, nimeliwa sana hela ina nimeacha huu mwaka wa 5 sijui betting, zile account za betting nisha block kwenye mind.. huu uamuzi nilikichukua baada ya kujua mafanikio sio bahati kaka, mafanikio ni process lazima upite kwenye njia yake.. kujifunza, kujiamini,kuamini M ngu n.k
 
Ni kweli kabisa, unaweza kusema Poor Brain karogwa kupenda mishangazi, kumbe wakati ana miaka 14 alikua na demu wa miaka 25.
Vishu umeniandama sana skumbili hzi...
Yaaani wewe kila mfano unaohusu mambo ya mishangazi lazima unitag mimi aiseee...😃😃😃😃😃😃

Mkuu mi kwa sasa natafuta mtoto mmoja hvi mbichi anaitwa swaumu..

Huyu mtoto mara nyingi huwa anapenda kuniita mi dady...
 
NB: Uraibu ni pepo, yaani spirit iliyokushikilia inayo kudrive kwenye gambling.
 
Afuate hatua zifuatazo:
1. Atafute sehemu nzuri ya kufanya maombi
Atubu kwa Mungu muumba mbingu na nchi kwa kuamua kufuata njia isiyo sahihi ya kupata pesa.
2. Amwombe Mungu amwokoe kabisa katika hali hiyo
3. Amwombe Mungu amwoondolee roho ya tamaa ndani yake.
4. Aanze kufuata kanuni za Mungu wa mbinguni na kufuata njia zake.
 
Salaam wanajukwaa. Jamaa yangu amepatwa na tatizo ambalo yeye mwenyewe halielewi na hata Mimi aliyenisimulia nimeshindwa kumuelewa ndomana nimelileta kwenu. Iko hivi, huyu rafiki ni mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka 10 sasa.

Pamoja na mshahara anaopata anajitahidi kupambana nje yakazi na maisha yake sio mabaya, anajiweza. Tatizo lake limeanza rasmi mwezi July mwaka Jana na limemporomosha kiuchumi vibaya kiasi sasa amechanganyikiwa.

AVIATOR! mwanzo aliponitajia hiki kitu sikumwelewa kwani nilikuwa sijui kabisa.Alijaribu kunifafanulia mwisho nikaelewa nimchezo Fulani jamiii ya betting wenyewe wanaita kandege. Jamaa yangu anacheza huo mchezo na kwa wiki anaweza apoteze zaidi ya laki6!

Anadai amefikia kiwango Cha kuuza mali zake kutokana na madeni aliyokopa nakuyaelekeza kwenye mchezo huo.Tumeshauri njia nyingi zakuacha hadi akaamua kuharibu Simu yake ili asiingie mtandaoni lakini Bado mwamba ametengeneza na amerudi mchezoni.

Ana ofisi flan ya huduma za stationary ila wateja wakitanguliza pesa jamaa anaziweka kwenye kindege analiwa kinachobaki ni kusumbuana na wateja.

Najua betting Ina kula na kuliwa lakini kwa uliwaji huu na Bado anaendelea kucheza nahisi(nahata yeye)anaamini Kuna jambo nyuma.Anasema akishika tu pesa mkononi wazo lakwanza linamjia nikucheza kindege,Zikiisha anabaki na majuto huku akijiapiza hatarudia tena.

Ana mke na watoto,ila kwa Hali ilivyo ndoa ipo mashakani.Nifupishe tu kwakusema jamaa anahitaji msaada wa kutoka kwenye huo mchezo kwani anahisi Kuna mchezo kafanyiwa na sio akili zake.

Wakati Fulani niliingia jukwaa la wazee wakubeti hapa hapa JF nikaulizia ili nijue betting za kindege zinakuwa na madhara kama hayo kwa watu wote au Kuna kitu sio bure.

Uwezo wangu na ndugu wengine wakumshauri aache umeshindikana kwani Jana tu katoka kuliwa laki4 .
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza
7. Uwolowolo
 
Salaam wanajukwaa. Jamaa yangu amepatwa na tatizo ambalo yeye mwenyewe halielewi na hata Mimi aliyenisimulia nimeshindwa kumuelewa ndomana nimelileta kwenu. Iko hivi, huyu rafiki ni mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka 10 sasa.

Pamoja na mshahara anaopata anajitahidi kupambana nje yakazi na maisha yake sio mabaya, anajiweza. Tatizo lake limeanza rasmi mwezi July mwaka Jana na limemporomosha kiuchumi vibaya kiasi sasa amechanganyikiwa.

AVIATOR! mwanzo aliponitajia hiki kitu sikumwelewa kwani nilikuwa sijui kabisa.Alijaribu kunifafanulia mwisho nikaelewa nimchezo Fulani jamiii ya betting wenyewe wanaita kandege. Jamaa yangu anacheza huo mchezo na kwa wiki anaweza apoteze zaidi ya laki6!

Anadai amefikia kiwango Cha kuuza mali zake kutokana na madeni aliyokopa nakuyaelekeza kwenye mchezo huo.Tumeshauri njia nyingi zakuacha hadi akaamua kuharibu Simu yake ili asiingie mtandaoni lakini Bado mwamba ametengeneza na amerudi mchezoni.

Ana ofisi flan ya huduma za stationary ila wateja wakitanguliza pesa jamaa anaziweka kwenye kindege analiwa kinachobaki ni kusumbuana na wateja.

Najua betting Ina kula na kuliwa lakini kwa uliwaji huu na Bado anaendelea kucheza nahisi(nahata yeye)anaamini Kuna jambo nyuma.Anasema akishika tu pesa mkononi wazo lakwanza linamjia nikucheza kindege,Zikiisha anabaki na majuto huku akijiapiza hatarudia tena.

Ana mke na watoto,ila kwa Hali ilivyo ndoa ipo mashakani.Nifupishe tu kwakusema jamaa anahitaji msaada wa kutoka kwenye huo mchezo kwani anahisi Kuna mchezo kafanyiwa na sio akili zake.

Wakati Fulani niliingia jukwaa la wazee wakubeti hapa hapa JF nikaulizia ili nijue betting za kindege zinakuwa na madhara kama hayo kwa watu wote au Kuna kitu sio bure.

Uwezo wangu na ndugu wengine wakumshauri aache umeshindikana kwani Jana tu katoka kuliwa laki4 .
Amepanic huyo rafiki yako na kinachoonekana ni kwamba hataki kuamini kama pesa yake imeshaliwa so atulie ila yeye anajipa matumaini ya kuwin ili arudishe alizopoteza.

Sijui namna ambavyo unachezwa huo mchezo ila kwa namna alivyopanic ni wazi atakua anarisk more ili awin more kufidia kile alichopoteza.

Ni ngumu kumtoa hapo hasa kama yuko na jamaa zake wengine ambao nao ni washirika wenzie kwenye huo mchezo kwa maana kila akiskia story za mtu fulani amecheza na amewin kiasi fulani kikubwa nae anapata hamasa ya kucheza kwa tumaini la labda inaweza kuwa zamu yake.

Ajitahidi asiwe anatembea na fedha na ikibidi hata kadi ya bank asiwe nayo kabisa... in short afanye juu chini asiwe na fedha mfukoni wala kwa simu na wala asiwe na access ya kupata fedha kwa haraka pindi anapohitaji... maybe inaweza kusaidia.
 
Back
Top Bottom