my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Week ijayo tarehe 26 my life partner ni anazaliwa nipeni ushauri nimnunulie nn km zawadi. Hii ni birthday yke ya kwanza kusherehekea pamoja tokea tuwe pamoja. Yeye ni kaka fulani ana appreciate hta km kitu ni kidogo anafurahi sana na hasahau hta km ni kidogo vp. Usinishauri nguo, viatu au saa hivyo nmewah kumpa km zawadi. Sasa nataka nimpe zawadi tofauti iwe ndogo lakin iwe na value. Unanishauri ninunue nn? 😉
