Nipeni ushauri kwa hawa wanawke watatu

awaliawali tu bana me naona imchukue yule wa zamani maana anaupendo wa dhati swlala ushauri atakuwa nao tu labda kama hajaenda shule kabisa
 
Mkuu ni swali samahani lakini.. kwani unafanya utafiti ujue kama huwa kunatoa dhahabu? zote ziko sawa tuu mkuu. Chagua unayehisi anekupoenda na ww unampenda na yeye anakupenda kwa dhati. "Mchagua nazi mwisho huchagua koroma"
 
"Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako"
iyo ni slogan yako hapo juu...

ila hakuna dhahabu, ni ujana tu.... nyie ndo mnishauri vizuri, maana ata 25yrs sijafika na ndio nimeanza kula matunda ya kielim changu nilichopata kwa shida.. I PROMIS NTABAKI NA WA MWANZO
 
Yaani bila kuuliza wewe ni mhaya. Nimekugungua kutokana na maandishi yako. Pia ujume wako ukanipa sababu ya kuamini hivyo. Wacha uchafuzi wewe. Tuaita hayo mapenzi kuwa ni ya kitoto (infatuation). Kaa na wa zamani
 
yaani bila kuuliza wewe ni mhaya. Nimekugungua kutokana na maandishi yako. Pia ujume wako ukanipa sababu ya kuamini hivyo. Wacha uchafuzi wewe. Tuaita hayo mapenzi kuwa ni ya kitoto (infatuation). Kaa na wa zamani

nakuomba uteme mate chini kwa kusema mimi mhaya,
 
@PAS
Kweli siasa noma mpaka umeamua kuja kupumzikia huku...
 
Hayo ndo maisha ya asilimia kubwa ya wanaume zetu hapa bongo kuwa na wanawake zaidi ya mmoja kwao imekuwa fashion wanatuchagua ka karanga yani tumekuwa bidhaa anachukua na kutest tena si kwa mala moja mpaka pale atapochoka ndo anakuja kukupa black and white bila hata uruma inasikitisha sana na inauma sana
Sijajua sisi kinadada kosaletu liko wapi mana kama wewe kaka una gf wako hata kama anamapungufu yeye ni binadam na wewe unamapungufu pia na kama umeweza kukaanae kwa muda inamaanisha kunavitu vizuri anavyo ambavyo unavipenda why usitulienae na ukamuelewesha taratibu akajua makosa yake na akabadilika with time mana yy sio jiwe kwamba haelewi na habadiliki
Huo mchezo unaofanya unatudhalilisha wanawake na kututumia vibaya hatuko hapa duniani kwa hilo achana na wao wawili as soon as posible na baki na mpenzi wako mjenge maisha na kama umeona hakufai mweleze na chagua mwingine unaempenda ila si kumchanganya hivyo ama kuwachanganya hivyo unajiwekea lana na mikosi na kujenga mashaka ktk maisha yako
 
@PAS
Kweli siasa noma mpaka umeamua kuja kupumzikia huku...

nicheki kwenye siasa mbona nipo, apo useme kuwa mbona nimeibuka huku wakati sipo uku.?????
ndo ujue ninaitaji msaada sana tu katika hili...
siasa adi jana nlikuepo kaka
 
Mimi nakushauri uache tabia ya uzinzi na kuwapotezea muda mabinti za watu. Sidhani kama utafurahi siku moja binti yako awe na uhusiano na mwanamume mdanganyifu kama wewe na kisha amwache. Unachofanya ni DHAMBI
 
Chagua mmoja yule mamaa atakufaa zaidi kuliko hao wengine.
 
WADAU hali zenu???
nina gf wangu tupo nae zamani, ila apa miezi michache nimekuwa na uhusiano na wengine kwa mda huu, yan ni kweli nawapenda nao wanakubali kuwa nawapenda na wapo tayari kuwaacha wa kwao ili wawe nami, ili wao wanawaswas kama nawadanganya sababu uyu GF wangu nipo nae muda mrefu..

Kiukweli kuna uyu GF mmoja wa nje ana vigezo vyoote abavyo mi navitaka na ninamkubali sana hata katika mambo ya maisha ya baadae yani ni mshauri mzuri.

mwingine yeye ndo mruri balaa ila mjanja japo ana upendo kama wengine ila yeye tukiwa nae kwenye simu wanampigia kila mara kumtongoza japo ana msimamo,ila was wangu ktk 10 wanaomtongoza hivi ata mmoja hatamkubalia???

Uyu GF mwenyewe"mamaa' yeye haeleweki yan anfata tu kila nsemacho wkt inabid awe mshauri pia... yan yupo yupo na ndo ana upendo kuliko woooote.

SASA NAITAJI USHAURI WENU WADAU
" Subiri ile kwako ndo utajua unafanya madudu"!!U will always have biased decision and it will end up choosing the right women for others and not for u!!
 
Hivi hicho kigroup chenu cha watu wanne mmeshapima magonjwa ya zinaa na huwa mnarudia kupima tena? Kama bado, huwa unatumia kondomu kila unapokuwa unajamiiana na hao masweetheart wako?
 
Hivi hicho kigroup chenu cha watu wanne mmeshapima magonjwa ya zinaa na huwa mnarudia kupima tena? Kama bado, huwa unatumia kondomu kila unapokuwa unajamiiana na hao masweetheart wako?

Chain hiyo inaendelea tu halafu jamaa ana 24 yrs tu sijui ana harakia nini, bado hujaona ya dunia ndugu yangu, mengi yanakuja
 
WADAU hali zenu???
nina gf wangu tupo nae zamani, ila apa miezi michache nimekuwa na uhusiano na wengine kwa mda huu, yan ni kweli nawapenda nao wanakubali kuwa nawapenda na wapo tayari kuwaacha wa kwao ili wawe nami, ili wao wanawaswas kama nawadanganya sababu uyu GF wangu nipo nae muda mrefu..

Kiukweli kuna uyu GF mmoja wa nje ana vigezo vyoote abavyo mi navitaka na ninamkubali sana hata katika mambo ya maisha ya baadae yani ni mshauri mzuri.

mwingine yeye ndo mruri balaa ila mjanja japo ana upendo kama wengine ila yeye tukiwa nae kwenye simu wanampigia kila mara kumtongoza japo ana msimamo,ila was wangu ktk 10 wanaomtongoza hivi ata mmoja hatamkubalia???

Uyu GF mwenyewe"mamaa' yeye haeleweki yan anfata tu kila nsemacho wkt inabid awe mshauri pia... yan yupo yupo na ndo ana upendo kuliko woooote.

SASA NAITAJI USHAURI WENU WADAU

Waonesha bado hujakomaa katika mapenzi, nahisi hata status yako ya H.I.V bado hujaijua... kibaya zaidi hakuna unayempenda kati ya hao wote... Mwisho..."NJOO UFANYIWE MAOMBI"
 
Waonesha bado hujakomaa katika mapenzi, nahisi hata status yako ya H.I.V bado hujaijua... kibaya zaidi hakuna unayempenda kati ya hao wote... Mwisho..."NJOO UFANYIWE MAOMBI"

mpaka mwisho wakat cjado na huyu wa mwisho status yangu kwenye HIV Ilikua poa..

Hayo maombi ndo jambo la msing wap ntafanyiwa unaposema ww
 
Back
Top Bottom