Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Mkuuu nimecheka saana hii coment ako maana daaah ivo ivo yaani nakorongo langu flani hiviii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutaona mengi Leo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂.ht mm hubby ananidanganyaga ati mm nna height nzuri hahahaa 152?😂😂😂..thts nice...sasa mwenzako nipo chubby sana..!so nazidi kuwa short..😂😂😂 bt am okey
😂😂 najikubali balaa, urefu wangu 152cm na uzito wangu usiozidi 40kg😘😘 basi naonekana kadogo dogo,kumbe mama flani
 
Mie najijua mfupi..ila nikikutana na wafupi mm nakuwa tall[emoji23][emoji23]..bt mm mfupi...!kitu kama 156cm hv[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]!miaka hii ndo nimejikubali...huko nyuma ilikua mwendo wa heels..sasa hv aku[emoji111]
Hahahaha

MTC | 101| [emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…