DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,397
- 2,936
Natarajia Mungu akinijalia na mambo yakienda Sawa nategemea kuoa mwananke wa kisukuma kutokea kisesa Mwz . Nipo najichanga ili nipeleke mahali by mwezi wa nne hapo. Kwa appearance mtoto ni very white and beautiful. Nitajieni sifa za wanawake wa kisukuma