Nipeni sababu, kwa nini Askofu Bagonza hajagombea hata Udiwani?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,547
Reaction score
28,494
Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati.
Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule.

Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime.

Askofu Bagonza kwa nini hakutia nia kugombea hata udiwani, achilia mbali ubunge ambao anaweza kuupata?
 
Kwani ukiwa kocha lazima uwe mchezaji kwenye mpira.Wewe uliyetoa uzi umeshindwa kuwa karibu nao chawa wa ccm
 
Sio Kila mtu mwema anakuwa na tamaa ya hizo nafasi, wema wengi hawapendi hekaheka...wanajua huko wataweza badilika na kuwa wabaya badala ya kudumisha wema wao
 
Kwa sababu hiko cheo Cha 'ufiwani' hakipo. Kikiwepo tu basi anaweza kuchukua fomu (kama itahitajika) na kugombea.
 
Mh Mwamasika alijiuzulu Ubunge ili akawe Askofu wa KKKT 🙏

Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati.
Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule.

Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime.

Askofu Bagonza kwa nini hakutia nia kugombea hata udiwani, achilia mbali ubunge ambao anaweza kuupata?
Akagombee wapi? Na kwa ajili ya kupata Nini?
 
Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati.
Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule.

Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime.

Askofu Bagonza kwa nini hakutia nia kugombea hata udiwani, achilia mbali ubunge ambao anaweza kuupata?
Maisha yake huwa hayaakisi anachokiongea.Ni mbabe, hapendi kukosolewa, na amewapa mzigo mzito waluteri kwa michango na ni kiguu na njia Kwa safari. Pia anawatoto mitaani.Rejea skendo ya mama wa Arusha.Hata ubolozi wa nyumba kumi hapati.
 
Heri aka practice kile anachohubiri.
 
Back
Top Bottom