KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Karne hii bado kuna watu wanaamini eti kwa kuwa mtu ananyonyesha basi hana maambukizi ya ngoma? Dah! Huyu ni mtu ambaye naamini ana elimu yake. Sijui wale ndugu zangu ambao hawajawahi kuliona darasa inakuwaje.Jana nimekutana na demu wangu ambaye nilifanya nae matusi mara moja, mwezi wa saba, mwaka jana
Ni demu mkali mno, ni mhudumu wa hoteli maarufu hapa town.
Kwa sababu nilikua najali maisha yangu, nilitumia kinga,kwani nilijua wahudumu wengi wa mahoteli si waaminifu.
Yeye ndo alinisisitiza nisitumie kinga, kitu ambacho kilinifanya niamini hata kwa wengine huwa anawashauri hivo.
Kwasasa ameolewa na ana mtoto anayenyonya.
Najilaumu kwanini nilivaaga c***om, kwani nilimkuta akinyonyesha, inamaana hana maambukizi ya ngoma.
Actually nisingevaaga ningemfaidi sana yule mtoto.
nani alikwambia wanaonyonyesha hawana ngoma?....na pia ungemkira mtoto wa watu bure
Umeniacha mbali kidogo kwenye hiyo blue mshiki! Nimekugongea senksi umeiona?
Ahaa! Kwa hiyo ukaamua kuandika Ki-hanjo siyo? Afu ndo nini ulichofanya sasa? Ngoja ntakuPM......nilikuwa namaanisha kum'bemenda mtoto wa dada wa watu
Ahaa! Kwa hiyo ukaamua kuandika Ki-hanjo siyo? Afu ndo nini ulichofanya sasa? Ngoja ntakuPM......
Yani kweli hii kali, sijawahawi kuhisi kuna such ignorancy hata hapa JF.Karne hii bado kuna watu wanaamini eti kwa kuwa mtu ananyonyesha basi hana maambukizi ya ngoma? Dah! Huyu ni mtu ambaye naamini ana elimu yake. Sijui wale ndugu zangu ambao hawajawahi kuliona darasa inakuwaje.
Mungu aepushie mbali! LMAO!
kweli wewe kaka ni jambazi, yaani ulimega mke wa mtu? hehehe anyway, majuto siku zote ni mjukuu! sasa hivi unajutia kwanini ulimega na cd, lakini ungeuvagaa umeme ungejutia tena kwanini hukumega kwa cd, kazi kweli kweli! we endelea kuangalia tu kwa macho! mwenye mali anakula tunda lake taratibuuuuuuu!Actually nisingevaaga ningemfaidi sana yule mtoto.
Pole sana kakajambazi kwani unaonyesha jinsi unavyojifikiria wewe tu!!! how far are you sure kwamba wewe hujaathirika?... kuna vituo vya ushauri nasaha tena bora nakushauri uende huko upate ilmuJana nimekutana na demu wangu ambaye nilifanya nae matusi mara moja, mwezi wa saba, mwaka jana
Ni demu mkali mno, ni mhudumu wa hoteli maarufu hapa town.
Kwa sababu nilikua najali maisha yangu, nilitumia kinga,kwani nilijua wahudumu wengi wa mahoteli si waaminifu.
Yeye ndo alinisisitiza nisitumie kinga, kitu ambacho kilinifanya niamini hata kwa wengine huwa anawashauri hivo.
Aisee kweli unahitaji elimu maana sio kila anayenyonyesha hana ukimwiKwasasa ameolewa na ana mtoto anayenyonya.
Najilaumu kwanini nilivaaga c***om, kwani nilimkuta akinyonyesha, inamaana hana maambukizi ya ngoma.
Actually nisingevaaga ningemfaidi sana yule mtoto.