mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
- Thread starter
- #21
300.250 tufunge biashara
Alafu kama sim yako ina kasoro bora tuache biashara.
Kama nzima kila kitu tuendelee kuongea
300.250 tufunge biashara
300 alafu pliz sim ako isiwe na shida kuanzia betri mpaka kila kitu yani nakupa sim clean na yako iwe ivo250 tufunge biashara
Simu nzima haina shida, 250 kama inawezekana3
300 alafu pliz sim ako isiwe na shida kuanzia betri mpaka kila kitu yani nakupa sim clean na yako iwe ivo
Simu nzima haina shida, 250 kama inawezekana
Chek pm300 boss great deal
Bado ipo
haina maslahi hata kidogo boss. Kwa ushauri hela io tafuta note 3 mpya ama note 4 bovu. Good luck brotherHabari Mkuu,Nipatie hiyo Note 4 Nakupa 500 Fasta Leo leo ni PM kama upo DSM.
haina maslahi hata kidogo boss. Kwa ushauri hela io tafuta note 3 mpya ama note 4 bovu. Good luck brother
Sinaga clone boss hapa nimebaki na note 4 32 GB na ni 600000Mkuu nataka simu kwa laki tatu..Unanipa ipi?Iwe original na nzima...Pia kama ni clone you just say