Nipeni njia sahihi ya kumuacha huyu mchepuko...

Nipeni njia sahihi ya kumuacha huyu mchepuko...

Mwambie Mkeo kwamba kuna mwanamke anakusumbua sana na umuombe amkanye woman-to-woman. It works 24/7

On a serious note, just be a man enough and tell her gently that it is over. Mwambie umeamua kuanza mwaka mpya na focus mpya na mchepuko sio deal tena. Baada ya hapo usipokee simu yake au kujibu msg au kukutana nae sehemu tata unapoweza kujikuta umemla tena.
 
Kapime HIV mwambie dokta akuandikie uko HIV+ mletee muonyeshe,akikaza badoo

usiku mkilala siku 1 jifanye unaota anza kuongea sema jina la mwanamke mwingine kabisa mfano Sema Grace mke wangu nakupenda sana,ntakuoa mapema tu,nasuburi niachane na huyu gume gume (unamtaja jina huyo mpz wako),hakikisha unaanza kuota muda ambao ataskia ukiota.

Akikaza tena, siku 1 jifanye una majini jidondoshe halafu sema kwa nguvu "Nataka nyamaaaaaaaa,nataka damuuuuu ndiooo nataka damuu ya flani (unamtaja jina huyo mpz wako) hapo hakikisha upo serious sema nataka kula mtuuuuuu...

Akikaza tena, Huyo mkeo nakwambia usimuache aseeee hamna namna utakua umeshanasa tena.
Hahahahaaaaa, hatari sana
 
Back
Top Bottom