Habari jf. Nimekuwa ktk mahusiano na mwanamke mmoja wa kiwanji kwa takribani mwaka sasa ninampenda sana, na nipo mbioni kumuoa lakini nina wasiwasi kama ndoa yetu itadumu maana anatabia ya kusikiliza na kuamini kila anachoambiwa iwe na ndugu au rafiki.
Lakini pia anaonekana na tabia ya kupenda kumcontrol mwanaume maana anaamini yeye yupo sahihi kila wakati.
Lakini pia ni mtu ambaye hana ukarimu kwa wa kitu ambacho kinaonesha hataweza kuishi na ndugu zangu. Hasa kwa sababu kwetu kitu uchoyo hakuna kabisa.
Naombeni mnipe maoni yenu katika hayo na ufahamu wenu wa kabila la wawanji ni watu wa aina gani!