mimi binafsi sijapenda jinsi ulivyo weka forums za mobile brands, kuna brands nyingi sana na nimaarufu umeziacha kama vile HUAWEI,ZTE na WACHINA,nakushauri uweke Forums za platforms kama vile Android, iOS, Windows Phone, Symbian na nyinginezo
sijui mwisho wako unataka iweje? pengine sijakuelewa yani unataka watu wachat kwenye simu au iweje? au wawe wanaongelea mambo mbalimbali ya simu zao? tafadhali nifafanulie, binafsi nimejisajili na sijui pa kuendelea japo hujaanza rasmi lakini nilidhani nitakuta kitu kinachofanya kazi tayari.
Ila umefanya kazi kubwa, hongera sana sana
Good work! Ila weka categories na boards ziwekwe kufuatana na category. Mfano Hacks & Tricks, unlock codes. Mimi nimekuwa developer wa SMF Forums kwa kama miaka miwili, so angalau naweza kukupa productive ideas on growing forums. Just ni PM