tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,315
Kama anapenda beer na sex Nenda nae bar mnunulie beer Halafu usivae kitu ndani ya sketi..akianza kunywa mwambie aingize mkono ndani ya sketi yako smile mwambie 'its all yours today'
Zawadi gani nzuri unaeza mpa boyfrend wako katika siku yake ya kuzaliwa.
Au
Wanaume mnapendelea zawad gani ktk kusherehekea siku ya kuzaliwa?
Kama anapenda beer na sex Nenda nae bar mnunulie beer Halafu usivae kitu ndani ya sketi..akianza kunywa mwambie aingize mkono ndani ya sketi yako smile mwambie 'its all yours today'
Kama namna gani vipi aende tu kwenye adult emporium akanunue edible underwear....ila amwulize huyo jamaa yake anapenda ladha gani.
Kwa mfano mimi napenda citrus...wengine wanapenda chocolate....wengine berries (strawberries, blackberries, raspberries, cherries, etc.)
Halafu kama jamaa yupo into role plays basi amwulize anapenda roles zipi. Ku spice mambo mi ningemshauri yeye huyu mchuchu a-play role ya streetwalker halafu jamaa a-play role ya john.
Halafu walau ajue ku-twerk kidogo....na kwa kuanzia waanze na wimbo wa 'drunk in love'....kwa sauti ndogo huku wakiwa wamewasha blacklight.
Na kabla hawajaanza mambo yenyewe wapige wimbo wa 'birthday sex' ulioimbwa na Jeremih
Dah,hii imenikosha mkuu...
Zawadi gani nzuri unaeza mpa boyfrend wako katika siku yake ya kuzaliwa.
Au
Wanaume mnapendelea zawad gani ktk kusherehekea siku ya kuzaliwa?
Mchezo anapewa mara nyingi jaman.chakula cha kupika mimi ni adimu
Mzabzab niachike kwa kumbania papuch kwenye bday yake??mmmh!
Hata kama unampa kila siku siku hio ongeza cha tofauti kidogo na mbwembwe zaidi kama kukuta chumba kina maua rose kuanzia bafuni mpaka kwa bed red wine ikiwa kwa kitanda na zawadi ya leso ikiwa na maneno matamu, hakikisha anaanza fungua chumba yeye na siku hiyo mchana mzingue hata kwa kugombana kidogo ili asikumbuke mambo ya siku yake ya kuzaliwaMchezo anapewa mara nyingi jaman.chakula cha kupika mimi ni adimu
Hahahaaaa.vyumba vyenyewe vya uswaz bafu liko mbaaali na tunashea ayo maua c watanishangaa.asante lakiniHata kama unampa kila siku siku hio ongeza cha tofauti kidogo na mbwembwe zaidi kama kukuta chumba kina maua rose kuanzia bafuni mpaka kwa bed red wine ikiwa kwa kitanda na zawadi ya leso ikiwa na maneno matamu, hakikisha anaanza fungua chumba yeye na siku hiyo mchana mzingue hata kwa kugombana kidogo ili asikumbuke mambo ya siku yake ya kuzaliwa
hata boxer, au T-shirt poa tu. Usitumie garama kubwa haina maana.
Hahahaaaa.vyumba vyenyewe vya uswaz bafu liko mbaaali na tunashea ayo maua c watanishangaa.asante lakini