Mwanza Dar ni Km ngapi na wewe utakuwa unatembea Km ngapi kwa saa?? Naomba tuanzie hapo kabla ya kufikiria salamu maalum ya RIP.Beira boy nitafika dar saa sita usiku na nitaondoka mwanza saa kumi na mbili jionView attachment 1211235
Unanikumbusha kuna jamaa yangu alijalibu iyo bwana bwana ha ha ha ha ha hakufika mbali akalivamia geti la polisi yale wanayawekaga nusu ya barabara nikacheka sana
Wazee saa kumi na moja hii najiandaa nichomoke saa kumi na mbili inatakiwa niwe usagara
Naondoka jion mkuu hakutakuwa na magari mengiMasaa kumi tisa na nusu hadi kumi ni angalau fair deal hauko peke yako njian, pengne utalazmika shuka had 50km/hr, pengne hata 140km/hr,, ifahamu vzur njia upitayo sioni mahala unapoweza fika 160-200km/hr ka vp malza