Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Midomo ya watu inaumba mkuu,kama ni kweli utafika salama,basi mshukuru sana Mungu,na ili kufuta hayo maneno kabla hujaanza safari ingia kanisa lolote karibu na ulipo ili ufute hayo maneno kwa jina la Yesu...
 
Aman iwe nanyi wakuu

Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford

Ebhana ee

Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla

Safari nitaanza saa kumi na mbili jion kwa sababu naogopa matrafik na fain na jum zisizo na maana

Ukisia ajari ya ford kwa kesho au leo usiku bas jua ni mimi mwana jf mwenzio beira boy from LONDON

Hivyo msiache kutoa IRP zenu ndugu zangu


Nikishatoka usagara tu kuitafuta tinde itakuwa ni habari nyingine nitaondoka usagara misungwi mwanza kwa kitwanga mawe tatu kwa Mwendo wa rocket


Japo safari nitaianzia home igoma

LONDON BOY
Hapo umepewa lift uko seat ya nyuma ata horn huwezi piga..
 
Kuna baharia anatokea rock city yupo na 2019 Bentley Bentayga, ukipata pancha atakupa msaada.
 
Back
Top Bottom