Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Hata kama ungekua na gari ya uwezo wa kukimbia zaidi ya 200km/hr huwezitoboa MZA-DSM kwa masaa sita,never and impossible kwa gari ya ardhini.Kadanganye kwenu,labda kunayo wajinga wenzio huko.
Practically impossible maana njiani kwa usiku yamejaa malori mengi Sana, halafu check Mwanza-shinyanga 1 hr, shinyanga nzega 1hr, nzega singida 2hrs, singida Dom 1hr, Dom Moro 1hr, Moro Dar 1hr...
Hapo hujachimba dawa,wala kuangalia pembeni...never on Earth hata road yote uwe pekeako never
 
Aman iwe nanyi wakuu

Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford

Ebhana ee

Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla

Safari nitaanza saa kumi na mbili jion kwa sababu naogopa matrafik na fain na jum zisizo na maana

Ukisia ajari ya ford kwa kesho au leo usiku bas jua ni mimi mwana jf mwenzio beira boy from LONDON

Hivyo msiache kutoa IRP zenu ndugu zangu


Nikishatoka usagara tu kuitafuta tinde itakuwa ni habari nyingine nitaondoka usagara misungwi mwanza kwa kitwanga mawe tatu kwa Mwendo wa rocket


Japo safari nitaianzia home igoma

LONDON BOY
Mwanza Dar unatumia saa 7,mbona nyingi,Tafuta mnara wa mitandao ya Simu panda juu,kisha jiachie huku umefumba macho,sekunde chache utakua umeingia Dar
 
Back
Top Bottom