Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Mimi Niko na ist na mimi ninasafiri mida hyo hyo basi naamin hiyo ligi yetu si ya nchi hii mimi naamini kufika saa tano usiku
 
dah umenikumbusha kuna jamaa yangu fulani ni kitengo pale air port alikuwa na harrier lexus new model yake alinipigia saa 12 asubuhi maana alikuwa chato bwana jerry ndo naondoka hvyo kwenye saa 11 jioni ntakuwa dar nikambishia na kidao juu nkaweka dah saa 12 mke ananipigia ndo naondoka hvyo nkaongea na mke na watoto wke jamaa saa 10 na nusu naskia gari inangurumia mlangoni kwangu nilichoka
 
Marehemu alikuwa na kiherehere sana enzi za uhai wake, aliendesha gari kwa spidi kubwa sana hali iliyo pelekea kifo chake.

REST EASY !
 
Nisubiri hapo Mwanza nipo na hii machine natoka nayo Serengeti nitapita hapo mida hiyo kuelekea Dar es Salaam.
tapatalk_1568896403794.jpeg
tapatalk_1568896430800.jpeg
 
Masaa kumi tisa na nusu hadi kumi ni angalau fair deal hauko peke yako njian, pengne utalazmika shuka had 50km/hr, pengne hata 140km/hr,, ifahamu vzur njia upitayo sioni mahala unapoweza fika 160-200km/hr ka vp malza:mad::mad:
Naondoka jion mkuu hakutakuwa na magari mengi
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom