Nipeni koneksheni wakuu, sitawaangusha.

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,181
Reaction score
64,253
Nikienda kutafuta utajiri wa punje za mahindi kama wanavyosema watu wa huko kusini, nitakuwa nimekosea?

Kwa miaka yangu hii 76, ata kuku akidonoa punje nne, nitakuwa na cha kupoteza?

Kwa sababu umasikini nilionao, unanifanya nadharaulika katika jamii, naonekana kama sijapambana kabisa katika kutafuta maisha, na nimekuja duniani kusindikiza wanao ishi.

Natamani niwe kama yule jamaa wa Rhodesia, niwe nawagawia wana jf magari bure ya kifahari, pamoja na noti.

Nipeni koneksheni wakuu, sitawaangusha.

​
 
Ingia inbox nmekutumia namba ya mganga.....mganga anataka watu walionyooka kama unaogopa ogopa usimsumbue.

Utajiri na uoga haviendi pamoja

Ingia inbox nmekutumia namba ya mganga.....mganga anataka watu walionyooka kama unaogopa ogopa usimsumbue.

Utajiri na uoga haviendi pamoja
Utajiri na uoga haviendi pamoja

πŸ“Œ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…