Nipeni jibu wajanja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipeni jibu wajanja

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by baba t, May 23, 2011.

 1. b

  baba t New Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Imezoeleka mwanaume akipata mchumba na mambo yakamwendea vyema wakaoana imezoeleka kuwa KAPATA JIKO. Je, mwanamke yeye itakuwa kapata nini?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sufuria ambayo ndo inakaa juu ya jiko!
   
 3. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nenda kwenye jukwaa la lugha utapata majibu
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmhhh
  MAgunzi
   
 5. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Inatemea mi jiko la aina gani.
  Kama ni jiko la mkaa, basi kapata mkaa,
  kama ni la mchina kapata mafuta ya taa,
  kama ni la umeme kapata Energy,
  la gas= gas
  la biogas=vinyesi
  nk.
  Umeridhika?
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hicho duh!
   
 7. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wanawake wana majina mengi sana hadi saa nyingine tukitumia majina yote tunaweza sahau kama nao ni watu muhimu. Umuhimu wao tunaona pale tukianza kuwalilia ndani, "nisamehe mke wangu sirudii tena", "kweli mama watoto unaniacha?", "nakupenda mke wangu". Lakini kurudi kwenye swali lako usitafute kusawazisha majina kirahisi hivyo. Kwa mfano wanaitwa mademu, wanaume hapa tuwaite vipi? au mwanaume akiitwa buzi, mwanamke je?
   
 8. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kapata nyumba ..... Kapata kwake
   
 9. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kapata mwenza, baba, mpenzi, mzazi mwenzake, maliza yote!
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  duh,hilo swali gum
   
 11. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  maswali mengine bana
   
 12. 4

  4 PRINCE Senior Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Atakuwa kapata kitakacholifanya jiko liwake,inategemea ni jiko la aina gani?
   
 13. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwanamke kapata mwiko wa kusongea ugali wake
   
Loading...