Hawa ndo wale wanataka wapewe dili ya kulala maskini na kuamka tajiriUpewe dili tena hivi mnafeli wapi?
Wewe njoo na ideas halafu weka kila kitu wazi na utazalisha ngapi kwa muda gani na unataka ngapi
Hapo labda unaweza kufikiriwa na baadhi ya watu wenye hela zilizolala tu bila kazi haha
Nashangaa anataka Dili hajui la nini kama ukuwadi sawa tu amaHawa ndo wale wanataka wapewe dili ya kulala maskini na kuamka tajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😀😀😀😳, dogo anataka hot tips. Kazi kweli kweli.Nashangaa anataka Dili hajui la nini kama ukuwadi sawa tu ama
Anisamehe kwa jibu kali ila wengi hawajitambui
Kwani akisema naweza kuuza mitumba ila nahitaji laki mbili nizungushe anafikiri atakosa?
Habari za muda huu wangu
Kijana wenu naombeni kazi yoyote(dili) lolote lile yaan yoyote ile kikubwa naingiza pesa nzuri, niko tayari katika mazingira yoyote yale
Nb: elimu yangu ni kidato cha nne, napatikana Morogoro kwa sasa ,
Mawasiliano 0699291325
Barikiwa Sana Mkuu, meipendamadeal aya hapa mdog wetu.
Thread 'Biashara sita (6) unazoweza kuanza na mtaji wa laki moja tu na ukapata faida kubwa' Biashara sita (6) unazoweza kuanza na mtaji wa laki moja tu na ukapata faida kubwa
Uko sahihi kabisaUpewe dili tena hivi mnafeli wapi?
Wewe njoo na ideas halafu weka kila kitu wazi na utazalisha ngapi kwa muda gani na unataka ngapi
Hapo labda unaweza kufikiriwa na baadhi ya watu wenye hela zilizolala tu bila kazi haha
Bangi bila uchawi hutoboiTulime banghi kijana wangu.
[emoji23][emoji23]Vipi unaweza kukimbia na TV inch 55 usiku?