Nipende muziki gani ?

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
Zamani nilikuwa napenda sana muziki wa rege watu wakaniambia eti navuta bangi. Nikabadilisha nikawa napenda sana Taarab watu wakaniambia huyu jamaa "si riziki" . Nikabadilisha nikawa napenda sana Blues wakaniambaie eti nina "msongo wa mapenzi" Sasa nawauliza walimwengu , nipende muziki gani ? Maana kila ninaoupenda utaambiwa hiki mara kile !
 

Attachments

  • MUSIC.jpg
    24 KB · Views: 101
Hapa umefika !!!!
Kitu BAKULUTU....yaana mapaka raha heshima kuanzia kazini mpaka nyumba..
Anza ni hizi hapaz.z...
1.Maseke ya meme..TP OK(Franco Luambo)
2.Ndona... Ochestra veve(Vercky Kyumwangwana mateta)
3.Matata ya mwasi.TP OK
4.Fati mata..Sam Mangwana
Mase...Afrisa internationale(Tabu laye)
5.Indepenece chacha..Africa jazz(Joseph kabasele)..
Then, atlast... you will adapt!!
 


wanaopenda bakulutu, bolingo, ngwasuma wengi ni walevi na watu wa kuchukua malaya bar na ma-bar-maids...
 

6.Sandoka(Franko)


7.Tokoma Ba Camarades Pamba(Franko)
 
Unapopenda kitu usiangalia mwingine atakuchukulia vipi. kama unapenda regge na ukaambiwa unapuliza ganja na wewe ufanyi ivyo shida iko wapi??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…