Nipeleke Nipelekee...

Nipeleke Nipelekee...

Game la kistaarabu hapo hakuna kutoana majasho

Umeona eeeh zuku rhumba ina raha yake hasa ukizijua zile step yaani hapa stimu ipo juu nasubiria dadii aje nichukua twende zetu. Halafu mauno ya kwenye zuuk weeeh kama hujawahi kuyaonja siku ukijaribu huthubutu kuacha.

Hayo mambo ya pekeche pekeche sitaweza mie. .... bakulutu kwa raha na starehe zangu. Halafu dadii is so caring........ hahahahahaaa ngoja niishie hapa mweeh.
 
Sio inalowekwa......tunaziloweka zote ndani ya maji ya chumvi kwa raha zetu.... tukitoka hapo ni bakulutu na zuku tuu.....
Utaona dadii amekataa za hapa... hapa.... hapa.... zuuk... zuuk.... zuuk..... Hahahahaaa rahajee.
Kumbe watu wazima mpo freaky halafu mnawasingizia new generation kwa kila baya.😀
 
Raha jipe mwenyeweee,naona hilo baba kifua hapo kama cha ,.............

Raha najipa mwaya wala siinyimi nafsi yangu kitu inataka.

Hahahahaha kifua adimu hicho.... kwa watu wa umri wetu hukipati hovyo hovyo. .... very adimu.

My dadii me love him the way he spoil me...
 
mbona mimi unanitenga au kisa sitembelei matako

Hahahahahahaaa sikutengi ndugu, nikutenge kwa lipi? Dadii ndo kanitenga na wengine..... wivuu hehehe
 
Duniani tumeletwa tupate raha na c karaha!ukipata nafasi ya raha jipe hadi uzimie......
 
Duniani tumeletwa tupate raha na c karaha!ukipata nafasi ya raha jipe hadi uzimie......

Kabisaa ni mwendo wa kula raha tuu maana ni msimu ukipita tunarudi kufanya kazi kama kawa.
 
utu uzima dawa... mpe hongera dadii...
 
Back
Top Bottom