abuuh yazeed
Member
- Nov 4, 2016
- 50
- 14
Habari gani wananchi wa awamu ya tano?
Nina Tv samsung flat Nch 32 imetumika miezi 8 tu, nataka tv chogo kwanzia Nch 21 pamoja na 350,000/= nikuachie hii flat maana nataka nifungue kibanda cha mpira.
Niko Singida
Nicheki No: 0652-902994 kwa mawasiliano na picha
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app