Nipe Mil3+Corrola nikupe Noah..namba B

Mdau Makin

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
767
207
Habari ya Jumamosi Wana JF

Wadau gari ipo arusha, ninachotaka kufanya ni ku exchange, ila utaniongezea pesa kidogo kama kichwa kinavyojieleza..

Asanteni
 
Habari ya Jumamosi Wana JF

Wadau gari ipo arusha, ninachotaka kufanya ni ku exchange, ila utaniongezea pesa kidogo kama kichwa kinavyojieleza..

Asanteni
Huwa nacheka sana nnaposikia mtu akinadi upya,uimara etc wa gari kwa kutumia suala la namba la usajili eti inaanzia B,C au D upya au uimara wa gari kwa kutumia kigezo cha namba ni kujidanganya....tumia vigezo kama gari lipo katika mazingira gani kwa maana ya barabara za eneo hilo ni lami,barabara za vumbi? mmiliki wa gari alikuwa analitumia kwa kazi gani na yeye mwenyewe ni mtunzaji mzuri? gari lilisha wahi kupata ajali? gari limetembea umbali gani(mileage)? huwa linafanyiwa service au mpaka liharibike ndo lipelekwe garage? Usidanganyike namba ya gari siyo kipimo
 
Nipe mil.10 nikupe Pick up Mitsubishi Colt single cabin ya mwaka 2002. Km 1600000,4WHD.
 
Nipe mil.10 nikupe Pick up Mitsubishi Colt single cabin ya mwaka 2002. Km 1600000,4WHD.
jina lako la katimu flani kapo ujeruman kanacheza bundesliga 2 ni kakali sna huwa nakabetia lazima kanipe matokeo ila sory npo nje ya mada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom