Ndugu yangu,Uhuru na Haki chini ya mwamvuli wa Demokrasia, ndio adui mkubwa katika hili. Tunahangaikia kufungua vinywa vyetu kumeza yaletwayo, tusijali udogo wake kulinganisha na mrija uletao. TUMEPOTEA.
Jamii changa kama zetu, tangu kwa watoto wetu hadi kwa watu wazima, hatuna budi KUFUNGWA nini tusikie, tuone, tutamke, tutende ama laa! Ati Uhuru wa watu! Na tutayari kurushiana mawe ili tubomoe Taifa, Ni Upumbavu.
Anaita sasa.
Huoni kwamba watu wanapaswa kuwa huru na sio kufungwa anachoona na achosikia? Je hii itamsaidia kuwa na nidhamu kwenye fikra zake au pengine kujenga tabia zake?Uhuru na Haki chini ya mwamvuli wa Demokrasia, ndio adui mkubwa katika hili. Tunahangaikia kufungua vinywa vyetu kumeza yaletwayo, tusijali udogo wake kulinganisha na mrija uletao. TUMEPOTEA.
Jamii changa kama zetu, tangu kwa watoto wetu hadi kwa watu wazima, hatuna budi KUFUNGWA nini tusikie, tuone, tutamke, tutende ama laa! Ati Uhuru wa watu! Na tutayari kurushiana mawe ili tubomoe Taifa, Ni Upumbavu.
Anaita sasa.
Uhuru unaoulaumu ndio uliokufungulia mlango wa kusema uliyoyasema. Bila ya uhuru huo mawazo yako kakasi yasingepata upenyo wa kujibanza.Uhuru na Haki chini ya mwamvuli wa Demokrasia, ndio adui mkubwa katika hili. Tunahangaikia kufungua vinywa vyetu kumeza yaletwayo, tusijali udogo wake kulinganisha na mrija uletao. TUMEPOTEA.
Jamii changa kama zetu, tangu kwa watoto wetu hadi kwa watu wazima, hatuna budi KUFUNGWA nini tusikie, tuone, tutamke, tutende ama laa! Ati Uhuru wa watu! Na tutayari kurushiana mawe ili tubomoe Taifa, Ni Upumbavu.
Anaita sasa.
Mkuu, ninakupata vilivyo kabisa. Nilichosema hapo juu ni kuwa, Vinywa vyetu ni vidogo mno kupokea bomba la Uhuru na Haki kama lilivyoundwa. Demokrasia yaweza kuwa ni Jambo sahihi kabisa, lakini nina hakika kabisa kwa Mtu mweusi halipo kwa Wakati Sahihi.Ndugu yangu,
Hatuwezi kusingizia demokrasia na utandawazi 100% kwenye kuharibikiwa kwa jamii yetu japo kuna baadhi ya mambo yanachangia... Kuna baadhi ya misingi ya malezi ambayo haijalishi unaishi kwenye nchi ya kidemokrasia au kidikteta lazima ifuatwe ikiwa tunataka kujenga jamii iliyo bora.
Ndio maana ukitazama nchi zilizoendelea na zilizo mbele kwenye masuala ya utandawazi na demokrasia utakuta kwamba kuna misingi fulani ya malezi wako juu kuliko hata sisi. Kwa mfano sio kila sehemu unaweza kukuta pombe zinauzwa kiholela, kuna maduka maalum yanayotambulika na hawauzi pombe kwa yoyote alie chini ya miaka 18 na kuna adhabu kali kwa wanaokiuka. Vivyo hivo kwenye kumbi za starehe wako strict kutoruhusu aliye chini ya miaka 18 kuingia. Mpita njia anaweza kukushitaki polisi akiona matendo yako yanahatarisha usalama na ustawi wa mtoto wako na ukachukuliwa hatua!
Kinyume chake sisi tumeingia kwenye utandawazi kichwa kichwa huku jamii ikiacha kusimama kwenye nafasi yake kama mdau wa kwanza kabisa kwenye matunzo na malezi ya watoto. Kila mtu anajifanyia mambo kivyake hakuna anayejali kinachoendelea kwa watoto halafu tunakuja kushangaa wakishaharibikiwa. Kuwafungia kwamba wasione wala wasisikie kinachoendelea huko nje ni kuahirisha tatizo. Utawafungia mpaka lini? sababu itafika siku wazazi wataondoka na kuwaacha watoto peke yao sasa watakabiliana vipi na dunia iliyojaa kila aina ya vurumai?
Lazima turudi kwenye misingi ya malezi ya vijana wetu, tukae nao, tuongee nao, tuwasikilize, tujifunze kutoka kwao na wao wajifunze kutoka kwetu. Tusimame kwenye nafasi yetu kama wazazi na walezi, na muhimu zaidi tumtangulize Mungu.
Huoni kwamba watu wanapaswa kuwa huru na sio kufungwa anachoona na achosikia? Je hii itamsaidia kuwa na nidhamu kwenye fikra zake au pengine kujenga tabia zake?
Nashukuru ndugu.Uhuru unaoulaumu ndio uliokufungulia mlango wa kusema uliyoyasema. Bila ya uhuru huo mawazo yako kakasi yasingepata upenyo wa kujibanza.
Kulaumu uhuru ni ufinyu wa tafakari. Kinyume chake uhuru ndio mwanzo wa maarifa ya sasa. POLE SANA.
Uhuru na Haki chini ya mwamvuli wa Demokrasia, ndio adui mkubwa katika hili. Tunahangaikia kufungua vinywa vyetu kumeza yaletwayo, tusijali udogo wake kulinganisha na mrija uletao. TUMEPOTEA.
Jamii changa kama zetu, tangu kwa watoto wetu hadi kwa watu wazima, hatuna budi KUFUNGWA nini tusikie, tuone, tutamke, tutende ama laa! Ati Uhuru wa watu! Na tutayari kurushiana mawe ili tubomoe Taifa, Ni Upumbavu.
Anaita sasa.
Hatuwezi kumaliza suala la madawa ya kulevya kwa nguvu peke yake. Matatizo ya kijamii ambayo tunayokabiliana nayo sasa ni lazima tuyaangalie katika mifumo yetu ya makuzi na malezi na mahusiano yetu. Lazima tuangalie katika tabia tunazozijenga kwa watoto wetu na vijana wetu. Kuwafunga watu kwasababu ya kutenda visivyo sahihi pasipo kuwa na mifumo mizuri ya malezi na makuzi ni kuendelea kila siku kuongeza gharama katika kujenga vituo vya polisi na jela wakati tunaweza kuzuia haya mambo kama tukiwa na malezi na makuzi mazuri. Na kama tutatoa elimu bora ya maadili kwa watu wetu.
Ni lazima tufanye hivi ili kupunguza uhalifu na matumizi ya hela nyingi kwenye kudhibiti uhalifu. Watoto wetu kama hawamjui Mungu hakuna tutachofanya kuwaokoa kutoka kwenye madawa ya kulevya na tabia nyingine zenye madhara kwa wao wenyewe na kwa jamii. Hakuna tutakacho kijenga. Hakuna kitakacho heshimiwa iwe ndoa au jamii.
We Must return to God.
Ndugu, kama hiyo dhana yako ina uhusiano wowote na ukweli basi kabla ya kuileta hapa ungetambua hilo janga lilikuwepo kabla ya Demokrasia kukanyaga bara la Afrika.
Sijakuelewa labda, kuwepo kwa Tatizo kabla ya ujio wa Demokrasia Afrika, kunahalalishaje utakatifu wa Demokrasia katika hili?
Je, tunaposema Dhana nzima ya Soko Huria namna tunavyoiishi ni kichocheo cha Unyonyaji kwa Afrika, tutakuwa tumekosea kwa sababu tu Unyonyaji ulikuwepo hata kabla ya ujio wa dhana ya Soko Huria?
Msingi wa kanusho lako ni upi?
Naunga mkono hoja ya kuhusishwa kwa Fikra na Roho za wanajamii katika hii vita, kwa maana kwamba, humo ndimo mwa kupandikiza Vifungo vya Kujenga Fikra na Roho chanya dhidi ya Madawa.
Dini na Jamii zina wajibu wa Asili na Uhuru wa kusimamia Malezi Bora, wamefanya nini hadi sasa? Jahazi linazidi kuzama, wamebatilisha nafasi zao na na kuwa hasi kwa msaada wa Uhuru wao. NI LAZIMA TUFUNGWE, TUFUNGWE NA MISINGI YENYE USAWA NA SAHIHI. Watadai Uhuru wao na kudai ni haki yao, WANAFIKI.
Anaita sasa.
Madawa ya kulevya ni tatizo pana lenye kuhusisha maisha kamili ya mtu i.e. roho yake, nafsi yake, akili zake, mwili wake, jamii yake, mazingira na mambo yenye kufanana na hayo. Huwezi kuishinda vita ya aina hiyo kwa kutumia silaha za aina moja au mbinu ambazo kimsingi ni za aina moja. Ni vita inayopiganwa na kushinda kwa kutumia "all armors".
Mkuu, ni kipi hapo juu unachofikiri hakifungwi na dhana ya Uhuru na Haki chini ya mwamvuli wa Demokrasia? Je, ni roho zetu, ama nafsi zetu? Je, ni mazingira yetu ama jamii zetu? Je, ni miili yetu, ama akili zetu leo hii?
Unakiri kuwa sisi ni wajinga na wabinafsi, unashindwaje kuona athari za Kuachwa Huru kwa mtu mjinga na mbinafsi kutumia ujinga na ubinafsi wake?
Bado nasisitiza, HATUNA BUDI KUFUNGWA. Na natambua wazi kuwa, mara tu baada ya vifungo sahihi kuanza kufanya kazi, Ni sisi tena tutakaotafuta wa kumburuza barabarani, kwa hoja za Kunyimwa Uhuru wa kutumia Ujinga na Ubinafsi wetu. Na Mataifa yataunga mkono...
Sisi si Wajinga na Wabinafsi kiasi hicho, Vipo Vifungo, kuvisema sio Kufuru.
Anaita sasa.
Watu wenye hulka na mtazamo kama wako pia si haba kwenye utawala huu wa awamu ya tano.
Yaani wewe badala ya kumwelimisha mjinga (sio mpumbavu) wewe unamfunga!?!!? Yaani mawazo hayo hayo ndiyo Wakoloni walitumia na kuwafunga babu zetu na kuwauza kama mbuzi kwenye masoko ya utumwa. Ndio maana tuliona baadhi ya waadhirika (victims) wa dawa za kulevya wakiwekwa mahabusu badala ya kusaidiwa kwenye rehabs.
Bila shaka umewahi kusikia kuwa kuna wajinga wa "kutengenezwa", na nchi hii kwa sehemu inao wengi thanks to CCM policies. Ambayo inawachukulia (for granted) wananchi wa Tanzania kama properties & tools for their lusts. Ndio maana baadhi yetu tuliona na kuainisha kasoro katika mchakato mzima wa vita ya dawa za kulevya. It was not a genuine war but rather a contaminated political struggle for supremacy.