Nipe kasoro ya hii picha

'Mambo ya pwani yananichanganya!
Vitu fulani wanavyofanya! *3"
 
sasa wewe unaleta kitendawili? si utuambie tu, hivi vitoto vya skuli vina taabu kweli, hamlali saa hizi?
 
Lapel Pin ya muheshimiwa inatakiwa kupanda juu kidogo.
 
Hawa Ghasia naye anatoa Speech yake bila kipaza sauti, sasa sijui ni nani anasililizwa zaidi.
 
hivyo vipaza sauti amevitolea nje baadhi akaamua kutumi hicho cha ikulu.
 
hakiuna anayemsikiliza kwa dhati. wote wanavusha tu. wapo hapo kimwili lkn kifkra wako mbali sana!
 
kipaza sauti cha TBC kiko taabani.... chali kabisa!!!
 
mlinzi kavaa Lapel Pin yenye bendera ya marekani! Hamuoni tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…