nipe jibu nivunjike mbavu!

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Unaamka asubuhi unakuta missed call saba kwenye simu yako, 1.Anayekudai 2.Unayemdai 3.Baba yako 4.Mama yako 5.Kaka yako 6.Dada yako 7.Mpenzi wako. je, yupi utaanza kumpigia....?? NIPE JIBU NIVUNJIKE MBAVU!
 
Nitaanza na mpenzi wangu! Wacha urongo, namba 2 huioni?
 
Nitaanza na anayenidai

UOTE=wamadish;5874679]Nitaanza na mpenzi wangu! Wacha urongo, namba 2 huioni?[/QUOTE]
 
Mama kwanza,mweh.mana ka misd kol 4 ni watu wa nyumbani mayb ni jambo muhm sana
 
Nitaanza na anayenidai kwasababu ni bora nianze siku kwa habari mbaya ikifuatiwa na nzuri, au sio?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…