Mchamungu: bwana, hivi miaka milioni mia moja moja ni sawa na muda gani kwako? Malaika mkuu: Ni kama dakika moja Mchamungu:na shilingi milioni mia moja za kitanzania ni kama shilingi ngapi kwako? Malaika mkuu: Ni kama senti moja tu Mchamungu: bwana, naomba unipe senti moja Malaika mkuu: Nisubiri dakika moja