Nipate wapi Scholarships za Bachelor Degrees?

mose_nd

Member
Jul 6, 2012
20
11
Jamani habari za kazi wakuu,
Mi naomba mnisaidie namna ya kupata scholarships za Bachelor Degrees.

Nataka kusoma kimoja kati ya hivi: Information Technology, Computer Science, na specializations kama Computer Networking, na Database administrations.

Asanteni kwa msaada wenu.
 
NENDA HLLSF naona mambo yao mazuri,ila nimeona kuna 8% imeandika kwa kingereza cha kitaalamu sana ambacho sijakielewa naomba wadau muielezee kabla ndugu yetu hajaenda KUKOPESHWA.
 
Back
Top Bottom