Nipande basi gari kwenda Kiteto nikitokea Dar?

BekaNurdin

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
2,267
2,041
Wana JF salaam!

Natarajia kwenda Kiteto tarehe 18/09/2015, sijui mabasi yanayo kwenda huko kutokea DSM.

Pia naomba kujulishwa nauli ni kiasi gani kufika huko ili nisipigwe nauli kubwa na wajanja wa UBT.

Asanteni wadau.
 
Mkuu sidhani kama una wide choice. kuna Kiruto, Kamwana na MJ. Upande wa nauli sijui kabisa.
 
ebwana panda kamwana express nauli ni elfu kumi na nane...na ukibahatisha ile inayoitwa podoski au motowa eliya ..hakika utaenjoy..
 
Back
Top Bottom