McDonaldJr JF-Expert Member Sep 25, 2013 6,388 7,557 Jan 17, 2016 #3 Haaa haaa kwa mazagazaga yaliyopo hata kujishughulisha nimeshindwa nasubiri nionyeshwe kilaza mie
swissme JF-Expert Member Aug 15, 2013 13,663 19,891 Jan 17, 2016 #5 ufunguo hupo pembeni ya ndizi kuna pasi chini ufunguo mbili . swissme
S samurai1411 Member Jan 12, 2016 20 9 Jan 17, 2016 #9 Funguo ipo ndani ya glass ya bia, ambayo ipo pemben ya sufuria
Gunst JF-Expert Member Jan 2, 2015 2,988 5,624 Jan 18, 2016 #13 Walevi ndo wamefanikiwa kuona funguo.
EMMYGUY JF-Expert Member Aug 6, 2015 11,094 25,336 Jan 18, 2016 #14 Funguo zipo kwenye glasi ya bia karibu na kisu upande wa kulia juu karibu na neno Picture.
N niah R I P Sep 26, 2015 7,019 9,291 Jan 18, 2016 #15 Ufunguo upo karibu na horse shoe. Ila upo kama opener.
Nje ya Mada JF-Expert Member Sep 30, 2015 1,399 490 Jan 18, 2016 #16 Kunywa pombe ya kwenye glass, utaiona funguo.
SupuyaPweza JF-Expert Member Oct 22, 2014 914 471 Jan 18, 2016 #17 Nimeona ufunguo wa makufuli na mikasi minne...
google helper JF-Expert Member Jun 11, 2013 9,628 13,739 Jan 18, 2016 #18 Funguo uko ndani ya glass ya bia inaonekana kama kwa wingu wingu.
Lumbi9 JF-Expert Member Oct 12, 2014 8,638 12,061 Jan 18, 2016 #19 Red Scorpion said: View attachment 317507 Click to expand... picha hii hapa
niachiemimi JF-Expert Member Feb 18, 2015 3,582 5,247 Jan 18, 2016 #20 aiseee kweli hata mimi nimeiona ndani ya glasa ya bia