C cjelo New Member Joined Aug 5, 2023 Posts 4 Reaction score 2 Aug 8, 2023 #1 Hili shindano kimsingi japo n zuri kwa wale vijana wasiojua kutongoza.. Lakini naona linawadhalilisha sana wadada. Laonesha ni jinsi gani jinsia ya ke imekua bidhaa ya hovyo mpka kuanza nadiwa na madalali. Kimaadili halijakaa poa kabisa
Hili shindano kimsingi japo n zuri kwa wale vijana wasiojua kutongoza.. Lakini naona linawadhalilisha sana wadada. Laonesha ni jinsi gani jinsia ya ke imekua bidhaa ya hovyo mpka kuanza nadiwa na madalali. Kimaadili halijakaa poa kabisa
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 4,628 Reaction score 7,158 Aug 8, 2023 #2 Hayo ni maigizo . Ni ubunifu tu. Vijana wanaangalia fursa zilizopo mtaani
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,754 Reaction score 10,184 Aug 8, 2023 #3 Shemeji wa mchongooooo .... Connection Huwa Zina waunganisha baadhi wenye malengo ya kuwa pamoja - ndoaa.... Ila usikaririi
Shemeji wa mchongooooo .... Connection Huwa Zina waunganisha baadhi wenye malengo ya kuwa pamoja - ndoaa.... Ila usikaririi
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,728 Reaction score 34,850 Aug 8, 2023 #4 Utafikiri wrote tunajua matangazo ya Mr Right?
berylyn JF-Expert Member Joined Dec 26, 2021 Posts 919 Reaction score 2,754 Aug 8, 2023 #5 Sijawahi sikiliza hata siku 1. Hata nikiangalia sielewi.