Ule uchaguzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na wansoka wa Tanzania,uchaguzi uliojaa vibweka,vituko,fitina,majungu,ubabaishaji hatimaye umekamilika na viongozi wapya watakaoongoza jahazi hili la soka la Tanzania kwa miaka minne ijayo wamepatikana.
Niwapongeze viongozi wote waliochaguliwa kuanznia Raisi na wawakilishi wote,jukumu mlilokabidhiwa ni kubwa sana na linahitaji moyo wa dhati kulikamilisha kwa mafanikio.
Ukiniuliza juu ya nini nategemea kutoka kwa hawa viongozi wapya wa TFF; nitakwambia sitarajii chochote kipya katika uendeshaji wa soka wala sitarajii maendeleo yoyote katika soka letu.Nasema hivyo kwasababu sioni kiongozi yeyote aliyechaguliwa ambaye ana nia ya dhati ya kuliendeleza soka la bongo (hapa sio hawa waliochaguliwa tu,hata wale walioshindwa pia),wengi wao wanaenda pale kwa maslahi yao binafsi na si kwa manufaa ya mpira wa Tanzania.
Wagombea walitoa ahdi nyingi sana ambazo kimsingi kama zingekuwa zinatekelezeka kwa aaina ya viongozi ambao tunao basi soka la bongo lingekuwa mbali maana waliyoyaahidi si mageni yalishaahidiwa na viongozi waliopita lakin mpaka wanaondoka madarakani hamna kitu zaidi ya kupiga hela za makusanyo ya mechi za simba na Yanga.
Inanikumbusha kiongozi mmoja wa klabu moja hapa bongo,wakati wa uchaguzi aliahidi kuwajengea uwanja timu yake lakini miaka kadhaa alipokuja kuulizwa juu ya ahadi yake akaruka kimanga na kudai hawez kujenga uwanja ndani ya miaka michache,ukiangalia mfano huo ndio nanavoona pia kwa hawa viomgozi wapya wa TFF waliochaguliwa.
Mwisho niseme watanzania hususani wapenda soka wana imani kubwa na nyinyi hivyo ni jukumu lenu kwafurahisha Watanzania au kuwaangusha.
Cc: Jamal Malinzi
Nampa pole Tenga na dr Kimei na mradi wao wa ticket,(kila atm ya crdb wameweka mabox ya 1947) eti ya kutoa ticket.poleni Nyamlani ajapita yale mabox kimei yakusaidie kwenye kampeni ya ubunge marangu!2015.sio watanzania wote wapenzi wa soka wana TEMBO card!ainiingii akilini benk kama crdb kuingia mkataba na kununua technology ya mwaka 47,katika karne hii ya tanzania yenye gesi na mafuta.poleni nyamlani,tenga na Kimei
Natangulia kuwapa pole watakokuja kulalamika kwamba kumbe bora Tenga kuliko Malinzi. Ni hatari, kama sio ujuha, kujipa matumaini kwa uongozi usio na track record kama huu wa Malinzi. Sijui nilaumu katiba ya TFF au wadau wenyewe, lakini nchi kama hii ambayo kila Uchaguzi Mkuu tunakuwa na wagombea si chini ya sita wa urais wa nchi, kuwa na wagombea wawili tu wa urais wa TFF ni ajabu kama sio uchuro. Kadri wagombea wenye sifa wanavyokuwa wengi ndivyo uwezekano wa mmoja aliye bora unavyoongezeka, ingawa bado ni 'trial and error'. Lakini huu wa wagombea wawili ni 'error and trial'.

vp kama tumepata wanyang'anyi wengine?

hamna lolote jipya litakalofanyika,ila namtakia mafanikio mema ili anayoahidi ayatekeleze
Nyie ndo mafisadi papa pale TFF tunamshukuru Mungu tumewang'oa.[/
Ufisadi ni huo wa kuwa na mawazo tofauti na wewe? Kwanza fisadi hazaliwi,hutengenezwa. Una uhakika gani kwamba hao unaowashabikia nao si mafisadi au hawatakuwa mafisadi? Huu ufuasi wenu wa kichwakichwa ndio unaowafanya mnaowashabikia wawe mafisadi. Mjue amechaguliwa rais, sio mfalme, wa TFF! Lakini tayari mmeanza kumpa utukufu kama mfalme. Kushinda uchaguzi dhidi ya mgombea mmoja sio kazi. Kazi ni kuleta mabadiliko yanayotarajiwa. Tusubiri hayo ndio tuanze kumsifia, sio kwa eti kumshinda Nyamlani!
Nyamlani chaliiiiiii na virushwa vyake hahahaha