CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani nchini kilipaswa kufanya uchambuzi wa nguvu wa hotuba ya Rais na sakata zima la IPTL,kuna mambo mengi sana yako loose, ambayo yalistahili kukamuliwa na CHADEMA.
Kingine nilichokiona kuhusu CHADEMA ni mwenekano,hamna mtu anayekata kuwa na uniform,uniform inapaswa iwe uniform kwa wote,cha ajabu viongozi wa kitaifa wanavaa designer,katibu wa mkoa na wilaya anavaa mtumba,mbaya zaidi shati inatofautiana na suruali, hili ni tatizo linaonyesha tabaka,ni bora chama kikawa kinashona uniform kama vinavyofanya vilabu vya mpira Messi anavaa kama wachezaji wengine.