Jambo moja ambalo halijawa wazi kwa wengi ni mbinu iliyo nyuma ya kile anachofanya Kikwete kwenye mchakato wa katiba mpya ni kuhakikisha kwa mbinu zote zikiwemo UWT, mahakama, na spika makinda ni kwamba mawazo yake na chama chake cha magamba ndiyo yanafunika katiba mpya.
Kumbuka kwamba yeye ndiye anateua watu kama akina makinda na werema kuwa kweye hiyo kamati na baadaye bunge la sisiemu ndiyo itapitisha baada ya kuzua mambo ambayo yatawafanya CDM kutoka nje ya bunge.
Akijua kwamba huku nje ana FFU, UWT wasiokuwa na uchungu na nchi hii, majaji walio kama werema, na fedha za mafisadi, ataweza kufanya lo lote atakacho kwani mtamfanya nini? Hivi ndivyo zilivyo serikali za kihuni duniani.
Kwa jinsi waTz walivyologwa na pepo la mwenge ule wa uhuru, kaeni msubiri mtaona haya nionayo mimi!!!!!