......I didn't know if sometimes you can give a person good advice.Tatizo kubwa nilionalo hapo ni unyumba. Kama hakupi ni tatizo kubwa sana na unaweza kudai talaka.
Akikupa ipasavyo hata talaka utaisahau na makofi utayaonea raha.
Fanyia kazi hilo kwanza kama mwanamke.
......I didn't know if sometimes you can give a person good advice.
Akikupa ipasavyo hata talaka utaisahau na makofi utayaonea raha.
.
ivi kwan wewe hukutarajia mumeo awe jeuri? ama awe mbinafsi? kwanz ubinafsi ni sifa ya kiume, ukitaka uliza mtu yyte. Umewah kuona mtoto akilia mwanaume akasema lete nimbebe zaid ya kukwambia mpe nyonyo?
5. acha hasira zisizokuwa na sabb kisa mumeo haamki kukusaidia mtt unaona kakosea, wengine tulienda kujifungua weneywe hosp, unapak gari nje unaingia leba na kusukuma, mtu kalala home anakoroma na ukirudi unamwambia laaziz zawadi ya baby boy hiyooo. tena kwa busu zitoo as if ndo alokuja kukuchukua hosp kumbe umekodisha dereva akuendeshe kurudi home
8. jogoo halei eeeh bibie, wee uliona wapi jogoo kalea, ulishawah kuskia weye? ama ng'ombe dume hunyonyesha? sas akama hapana basi na wewe jua malezi ni jukumu lako as mama akifanya kakusaidia tu
kweli watu wakizoea shida ni shida.
wengine wanaona poa kupigwa makofi kisa wanapewa unyumba. embu we cloudear siku mpige mmeo kofi ukishamkatikia vya kutosha uone raha atakayosikia.
wengine walitelekezwa wakati wa kujifungua. wametelekezwa kutunza watoto. eti sifa za kiume.
embu cloudear tembelea The Animal Kingdom's Most Devoted Dads | Papa Penguins, Pregnant Seahorses & Frog Fathers uone wanyama wa kiume wanaoona ni wajibu wao kutunza vitoto vyao.
Tatizo kubwa nilionalo hapo ni unyumba. Kama hakupi ni tatizo kubwa sana na unaweza kudai talaka.
Akikupa ipasavyo hata talaka utaisahau na makofi utayaonea raha.
Fanyia kazi hilo kwanza kama mwanamke.
swala sio kuzoea shida na huo ndo ulimbuken wa walio wengi hasa mabinti wa kileo ndo mana kila siku vilio.kweli watu wakizoea shida ni shida.
wengine wanaona poa kupigwa makofi kisa wanapewa unyumba. embu we cloudear siku mpige mmeo kofi ukishamkatikia vya kutosha uone raha atakayosikia.
wengine walitelekezwa wakati wa kujifungua. wametelekezwa kutunza watoto. eti sifa za kiume.
embu cloudear tembelea The Animal Kingdom's Most Devoted Dads | Papa Penguins, Pregnant Seahorses & Frog Fathers uone wanyama wa kiume wanaoona ni wajibu wao kutunza vitoto vyao.
sote tu waajiriwa serikalini, akipata salary anakuwa kimya nikimwomc mahitaj atazunguka hata wiki nzima, amekuwa kama msaidiz pind ninapoishiwa, ahudumii kama baba, nishampelekaga had ustawi habadiriki
faiza foxy mwali wadogo wa kileo maisha ya movie yamewazingu zaid.Kamsome vizuri mleta mada labda utaelewa kuwa hizo zote ni sababu na hayo yote unayoyasema wewe kishasamehe, ukweli upo kwenye sentesi mbili hapo, moja ni hii "sasa ni 2weeks hakuna mawasiliano," na nyingine ni hii "je nikae tu kama housekeeper?"
Hapo kwa watu wazima tunaelewa ni nini kinachomsibu huyo kijana.
Kamsome vizuri mleta mada labda utaelewa kuwa hizo zote ni sababu na hayo yote unayoyasema wewe kishasamehe, ukweli upo kwenye sentesi mbili hapo, moja ni hii "sasa ni 2weeks hakuna mawasiliano," na nyingine ni hii "je nikae tu kama housekeeper?"
Hapo kwa watu wazima tunaelewa ni nini kinachomsibu huyo kijana.
sote tu waajiriwa serikalini, akipata salary anakuwa kimya nikimwomc mahitaj atazunguka hata wiki nzima, amekuwa kama msaidiz pind ninapoishiwa, ahudumii kama baba, nishampelekaga had ustawi habadiriki
swala sio kuzoea shida na huo ndo ulimbuken wa walio wengi hasa mabinti wa kileo ndo mana kila siku vilio.
kuna mambo ambayo mtu hayapaswi hata kukuumiza akili, huwez kumbadili mtu ambaye ulisha mchukkulia poa toka siku ya kwanza unategema nini? wewe ni Mungu uwez kumbadili.
cha msingi dance according to the beats..........
ukijifunza kupuuzia vitu vya kijinga kama hivi inakuwa ni njia nzuri sana ya kumfanya mtu ajitafakari. sasa wewe leta za kibabarita uone kama huchezei makofi kama kawaida.
kudeal na mwanaume ni jambo dogo sana wala halihitaj kuumiza akili ikiwa utamjua.............ndo mana waswahili husema mbwa ukimjua jina hakusumbui.
sasa apa ushamjua mtu wako unaaza kususa eti kisa hajafanya kitu fulan, wakati ukijitizama wewe mwenye sio malaika.
appraoch ya maisha ya movie inawaumiza na kuwatesa zaid...................
kuna aina fulan ya maisha ukiishi inamfanya mumeo mwenyewe abadilike, haihitaj nguvu ya maneno ya kelele, kushtak ukwen, vikao visivyo na sabab na maghubu yasiyo lazima ili kumbadili mumeo awe kama utakavyo.
6. acha mawazo potofu na kuona kwamba wewe ndio rula ya kumbadili mumeo, kwan wewe Mungu? let him live his own life kwan lazima kila unachotaka akufanyie afanye.
kweli watu wakizoea shida ni shida.
Wengine wanaona poa kupigwa makofi kisa wanapewa unyumba. embu we cloudear siku mpige mmeo kofi ukishamkatikia vya kutosha uone raha atakayosikia.wengine walitelekezwa wakati wa kujifungua. wametelekezwa kutunza watoto. eti sifa za kiume.
embu cloudear tembelea http://m.livescience.com/14651-animal-kingdom-devoted-dads.html uone wanyama wa kiume wanaoona ni wajibu wao kutunza vitoto vyao.
There is some lessons to learn given by @gfsowin and faiza Foxy. I also support you housegirl that no man has the right to batter his wife. That is abuse of high level!
And to you cloudear, pick up the positive advises that serves your interest if you want to sustain your marriage and if you still love him and mind the interest of your kids too. Cool down and if he comes back to you try to cool him down and if he picks the hard way and start the yelling and shouting just
pick up your 500ml bottle of water and sip slowly don't say a word, whenever this happens or continue just go on sipping the water and watch his response and behaviour change.
Gfsowin has been hard on you but take it from an elder sister she knows from experience and means well for you and we all wish all things comes well to you.
Let it be this is the last time he beats you.