Niokoeni Mwenzenu Napotea

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Wanajukwaa kipindi nabalehe nilikua napenda wanawake wenye chuchu saa sita na walikua wanaamsha hisia zangu hatareee lakini sasa umri unavyozidii kwenda najikuta napenda wale wanawake wenye vifuaa vya hajaa yaani unakutaa nd wanaamsha my sexual desire tena wale ambao wana miili yaani i mean wana nyama za kutoshaa basi nikiona mwanamke wa hivyo mwenzenu hoi.....naamini hapa kuna vijana wenzangu wa kike na wa kiume pia kuna wazee embu nisaidieni nini tatizo je kuna mwananume pia hii Hali imemkutaa?? au ni mimi mwenyewe
Ahsanteni! Mchango wenu ni muhimu
 
Mapenzi ni Moto ambao ukichochewa sio rahisi kuuzima mpaka utimize kusudi lake la kuteketeza, Mapenzi yanalewesha na kupiga upofu, ukinaswa na Upendo, Mtu Kipofu utaona ana makengengeza, Mwenye mapengo unaona ana Mwanya, yaani ukipenda hutaona Kasoro, so ni kawaida kabisa kwa kuwa upo kwenye dunia yako mkuu! When it comes to love kila mtu ana chaguo lake!
 
Umekua sasa[emoji6]
 
Hahahhahaha JF raha sana
Shangazi Mr.wako wa huko nyumbani na Mr.wako wa hapa JF(STUNTER) wanakusalimia wote kwa mpigo!🙂🙂........mimi ni mjumbe tu ambae wamenituma nikuletee hizo salama!

Nawasilisha![emoji30][emoji30] [emoji30]
 
Find somethng ili usiwe hvy cha kufanya pepo hilo limewekwa kwenye maziwa na usipoombewa litakusumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…