Niokoeni jamani!!!

Niokoeni jamani!!!

Powel Mizengo

Senior Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
126
Reaction score
24
Mfano ;- wewe umempenda demu ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa ,, mkalala kitandani ,,usiku wa manane mara mkasikia hodi ,, Binti akakuambia jifiche uvunguni ' ukajificha" akafungua mlango ,, akakuta watu wameleta maiti ya bibi yake ,, wakaja kuiweka kitandani ,, huku wewe ukiwa umejificha chini ya uvungu wa kile kitanda mpk asbh ,, ukicheki watu kibao wamejaa sebuleni mpaka nje ,, je ! utafanyaje na nguo kalalia marehemu ?
 
Chit chat tafadhali sio topic ya MMU hii
 
ngoja simu ikuishie chaji na njaa ikubane utatoka mwenyewe uko uvunguni
 
Huyu inabidi azikwe na bibi, hii adhabu itamfaa sana, siku nyingine hatarudia.
 
Grand atakuwa anakutokea kama hivi...........

rubbish post6.jpg
 
So,una'report kutoka chini ya uvungu till now???!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom