Nioe yupi kati ya hawa

wewe una IQ kubwa sana yani zero IQ means wewe ni intelligent...unajua kwa nini...kwa sababu umepokea vizuri ushauri wote wa JF ambao unajuw unakuja kwa sura mbili..masihara na kumaanisha au ya kejeli na ya faraja yani haijalishi wamejibu nini ila umeweza kupokea na kujibu ...GOOD
 
We kweli ni zero IQ.
Mwanamke umeshazaa nae afu unawaza kama umuoe au uache!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…