Nioe yupi kati ya hawa

Kwani wairaq huwa hawaolewi mkuu mbona nilishakwenda ukweni nimekuta wapo wengi tu na ndoa zao ina maana waliooa hao wameolea na majirani mkuu?
changanganya na zako...! fanya maamuzi sahihi, mwisho was iku usitegemee utapata majibu sahihi hapa
 
wape mtihani / jaribio lolote mshindi ndo atakuwa wife ila no 1 kama umekaa nae tangu secondary na kama hasumbui we oa ila dini kila mtu abaki na yake coz mkuu wa wilaya yupo, no 2&3 wote wapo vizuri ila no 2 ni mzuri zaidi
 
wape mtihani / jaribio lolote mshindi ndo atakuwa wife ila no 1 kama umekaa nae tangu secondary na kama hasumbui we oa ila dini kila mtu abaki na yake coz mkuu wa wilaya yupo, no 2&3 wote wapo vizuri ila no 2 ni mzuri zaidi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mkuu bwana kama umemuona vile?
 


Habari ndugu, nashukuru sana kwakuonesha ujasiri wa kuleta hii mada. Bila shaka utapata mawazo mawili matatu hapa jamvini.

Nimevutiwa sana na swala lako maana lipo complex sana lakini linaweza kutatuliwa kwakutumia sayansi ya hesabu. Kwenye hii case nimeamua kutumia "Prisoner dilema theory" maana inaweza kutusaidia kufahamu mahusiano yenye afya au mahusiano ambayo wewe na mmoja wa msichana mtakuwa na furaha.
Baada ya kusoma swala lako, nimegunduwa vitu vitatu vya msingi kama ifuatavyo
a) Dini
b) Furaha ndani ya ndoa
c) Mtoto

Kila kitu hapo juu nimekipa maksi au weight ya 1



Ushauri
Kama unavyo ona hapo juu unatakiwa kuoa msichana number 2 ambaye Kabila lake ni muiraq na dini mkristo. Hii ni kwasababu number 2 imefanikiwa kupata maksi au points za juu 3/3 kuliko sehemu yoyote ile kwenye chart.

Samahani kiswahili changu hakipo vizuri sana nitaomba radhi kama nitakuwa nimekosea kuandika sehemu yeyote.

Asanteni.
 
Kwanza niseme Asante kwa ushauri wako mkuu wenye uchambuzi wa kina,
Pili nimeusoma na kuelewa vyema,nimetafakari pia na baadhi ya ushauri niliopewa na wengine nafikiri namba 2 ndio mtu sahihi kwangu natumai kuufanyia kazi ushauri huu bila kikwazo,

Ninachoshukuru kwa sasa ni kwamba nimetua mzigo mzito uliokuwa moyoni mwangu wa kufikiri yupi ni mtu sahihi kwangu hakika JF is the place where we dare to talk openly
 
Of course mkuu kinachofanya nisiwe namuamini sana ni kwa sababu ya umbali tu ila akiwa karibu ni wife material atafanya kila kitu kwa wakati,atanionyesha mapenzi ya dhati yaani sijui niseme nini ila distance ni kikwazo sometime inafanya nisimuamini
Ukimuoa tatizo la umbali litafutika kwa kuwa mtaishi pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…