Ninywe Pombe gani wakuu?

Ongeza utafiti wako,,,,, eeeeeeeeeeh watu walio kwenye makampuni yanayolipa vizuri na wanaojiita kama sio kuitwa wasomi, CRDB, TRA, makampuni ya simu. Utajuwa tuu wanakotoka. Kuna kinywaji chao kinaitwa Mbege! We ukinywa tu hichi kinywaji lazima akili ije mazeee. Kama vp nikutumie kidumu kimoja kesho kwenye sai baba. Ila sharti ukipata kazi usinisahau!
 
Wasikudanganye walevi hao mwaya kunywa maji tu ya guiness(bia) usichanganye na soda wala nini
 

ha ha ha ha mkuu, umenichekesha sana. poa nitumie kidumu kimoja na yule mnyama wa ndani usisahau tafadhali
 
Au kunywa teachers afu kalale na kesho yake mvae bosi wako ila usinywe pombe mtoto mzuri eeehh!!!
 
Usitegemee pombe kubadilisha maisha yako.
Manufaa yatakayotokana na pombe yataishia kwenye pombe
 
Wakuu,

Nimegundua ili ufanikiwe kama mfanya biashara au mfanyakazi wa ofisini inakulazimu kunywa pombe, kwa bahati nzuri au mbaya tangu nimezaliwa 2 decades na ushee ago, sijawahi kunywa pombe aina yeyote kwa sababu hiyo nimekuwa mbali na mafanikio kazini. Katika kudadisi kwangu nimegundua mabosi wengi ni wachapa maji wazuri na wanapenda wanywaji.

e.g juzi nimeomba kazi shirika moja linalohusika na biashara ya fedha, kwenye interview HR aliniuliza "do u normaly drink alcohol ? nikasema no!", akauliza tena no, means.... not at all or u drink ocassionaly nikamwambia hata harufu sinusi, akaniambia sasa utaperform vp kazi wakati unatakiwa ukutane na wazee gymcana club, kilimanjaro hotel na new africa, au utakuwa unapiga chai kila siku? nikajibu kwa tabasamu yes. Na ile kazi nimekosa kabisa.

Wanaokunywa pombe kwa kiasi huwa wanapanda vyeo kila kukicha kwa vile wanakutana na mabosi maeneo ya mabaa na wana motivate-ana hukohuko.

Kwa wafanya biashara deals hufanywa bar na sio kwenye grocery na maji ya kunywa kama nifanyavyo mimi.

Kama nilivyoeleza hapo awali sijawahi kugusa pombe nianze na ipi mdogomdogo ili nisi over dose? au ipi Tamu zaidi
 

The Following 2 Users Say Thank You to Kiresua For This Useful Post:

D5 (Today), Nguli Jabali (Today)

Thumb up broda, huu ndo ushauri wa maana.

Tafakari,! Chukua hatua!
 
sio kweli mdogo wangu, mi nagonga maji kama kawa ila kuna watu wengi nipo nao kwa ofisi na niwachapa kazi wazuri tu na wanapata promo kama kawa, waweza kwenda hizo sehem za mabar na hotels ukawa una gonga redbul, vitamalt au hata wine mbalimbali ila kama unataka kuanza kupiga walwa, wel come to the family.
 
Kama hujawahi kunywa ni bora uache tu. Hata utafiti uliofanya sio wa kweli. Kuna watu wengine wanjichanganya vizuri hata bila kileo. Kuna apple juice, non alcoholic wines, bavaria just to mention a few.
 
Kama hujawahi kunywa ni bora uache tu. Hata utafiti uliofanya sio wa kweli. Kuna watu wengine wanjichanganya vizuri hata bila kileo. Kuna apple juice, non alcoholic wines, bavaria just to mention a few.

Mkuu naomba nisaidie majina ya bolded hapo juu,
 
Gonga
mbwiju

nimeigundua hiyo kesho kutwa nailaunch nimegundua maini ya wabongo mara nyingi hayapo bize kiiivyo kutokana na kushinda na njaa a.k.a mlo mara moja
 

Sasa si uache??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…