Ninyi wapinzani mnaohama chama nani aliye walogaa

Kuala Lumpur

Member
Joined
Jul 28, 2017
Posts
20
Reaction score
19
Me si mkereketwa wa siasa, lakin kidogo huwa nafuatilia mambo ya siasa. Hizi purukushani za watu kuhamia ccm ninaziona ona tu kama hivi...Nina maswali mawili wanaoweza kunijibu mtanijibu
1. Je , hivi haiwezekan kuunga mkono jitihada za mh rais ukiwa katka chama chako!? Ni mpaka uingie ccm ndo utaonekana unaunga mkono!?
2. Tanzania yetu rais huongoza kwa awamu, Je awamu ijayo/zijazo akitokea rais mwngine na akafanya tofauti na mnavyoona magufuli anafanya Je,mtarudia Tena upinzani Ama mtaendelea kubaki huko!?
 
Acha wa hame tuu.wanafki wakubwa hao,hawajui wanawasariti wananchi walio wachagua kwawakilisha,tatizo wamejawa hofu hawajui kuwa mpinzani huku africa ni wito.
 
Back
Top Bottom